business class
kipindi cha kuchimba dawazzz
Mh. balozi, Mwenzenu jamani juzi nilikuwa vekesheni huko Singida. Yaani safari ilikuwa bomba kinoma, unaambiwa hata wadau wapandao BA, KLM na midege mingine mtazimia, hasa kwenye business class ya basi la ABC lifanyalo safari kati ya Singida Dar. Wenyewe si mnacheki kwa ndani na nje na mambo ya kuchimba dawazzzz??
bongo tambarare jama, basi tu!
Mdau Alex



i

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Hivi tukichimba dawa huwa hatusafishi mikono? Ukifikiria sana bongo unaweza usishike mtu mkono. Kuanzia kupenga makamasi mpka kuchamba yote haijakaa sawa.

    ReplyDelete
  2. Ndio maana wazungu wanaposalimiana hawashikani mikono. Kushikana shikana mikono haijakaa vizuri. si kuchamba tu, na makamasi bado kuna majimaji ya mwilini yamtokayo mtu,. Watu wengine wanatoa sana jasho kwenye viganja vyao vya mikono, nadhani ushakutana na jamaa wa aina hii. ukimsalimia tu umeloa mkono, . Ni rahisi sana kuambukizwa magonjwa. Huku kupeana peana mikono hakuna maana yoyote. Mini napendekeza tukusalimiana tusishikane mikono.

    ReplyDelete
  3. Mkuu hapa umeongea,yaani kuosha mikono wala hakuhesabiwi kabisa na ni uchafu wa hali ya juu..pale dar kwene vioo vya kulipia wanatoza wanawake zaidi kuliko wanaume wakiwa na maana wanawake wanatumia maji,hapa umuhimu wa kuosha mikono kwa mwaname baada ya kushika utupu wake haupo.na huyohuyo akitoka hapo ananunuwa hindi na kuvunja kipande kumpa mwenziwe.

    ReplyDelete
  4. yan ktk siku nyingi ata sikumbuki lini sijawai cheka km leo,yan wadau sijui mmewaza nini?/hahahahahaaaaaaa,,NI KWELI KBS TENA KBS MARUFUKU HII JADI SIJUI NINI KUSHIKANA MIKONO WALAI NA IVI WABONGO TAMADUNI YA KUNAWA B4 UJASHIKA KITU UWA HATUNA KBSAAA AFU WAMSHIKA MTU MIKONO,TENA HII TABIA YA KUCHIMBA DAWA NI UCHAFUZ WA MAZINGIRA,NI SAWA TU NA MTU AKOJOAE MTAANI KTK UKUTA

    ReplyDelete
  5. Naona huyu mdau ameamua kutangaza biashara ya ABC

    Umelipwa ngapi?

    ReplyDelete
  6. hihihihihihi hahahahaha tehetehetehe nimecheka sana eti ananunua hindi na kuvunja kipande na kumpa mwenzie hahaha

    ReplyDelete
  7. Hivi na Ajali zote hizo bado watu wana kaa mbele ya mabasi? mmh , haya mabazi nayaogopa sana, kwanza mabody yake ni kama mzumeno, yaki pibduka huw a yana chinja watu na kukatakata .

    ReplyDelete
  8. Nirahisi sana sana kubadili hii culture. Na mimi nilikuwaga nakijitabia kama hicho hicho mpaka siku moja WIFE aliponitoa nishai wewe kwanini ukimaliza haja ndogo huoshi mikono. Tena alipendekeza na kutumia toilet paper kufuta yale ule mkojo unaobakia pale mbele. Nilijitetea kwamba huwa nakunguta kunguta lakini hakikueleweka. Na kweli huwa kuna mkojo mwingi especially kama ni mvaaji wa chupi nyeupe utanotice.
    Vitu kama hivi unaweza mletea wife wako infections kwenye tendo la ndoa especially kama utavaa ile chupi zaidi ya siku moja.

    ReplyDelete
  9. Ndio maana chupi zinanuka kama FUNGO sometime hahaaa haa tehe heee

    ReplyDelete
  10. uwiiiii jamani nimecheka mpaka basi leo mmeamua kutoa watu nishai duuu nimefurahi sana wanaume ndio naogopa kabisaa kuwahsika mikono najua 99% hamna aliyeosha mikono hehehehe uwiiii usafi jamani ukifikiria jinsi watu wanachamba na mikono nananihiii na nanihiii waweza usile hehehe oooh nasikia kichefu LO

    ReplyDelete
  11. Msaada tutani wadau:
    Wikendi hii nimefanya zoezi la kutotoa mikono katika pindi niwasalimiapo watu katika kundeleza libeneke la USAFI. Du!! usema ukweli nimekuta nimeshatoa mkono na kushikana na mtu. Kila nikijaribu najisahau, da! nakuta nishashikana na watu tayari. Mimi ni nina marafiki wengi na ni mtu wa washkaji. Naomba mchango wenu wadau, kama tulivyohabarishwa hapo juu

    ReplyDelete
  12. Its true haijakaa njema kabisa hii. Mimi najiulizaga hizi mila na desturi ukiangalia kwa maana hii hamna hata maana.

    Sababu mfano wadada huwa wanaheshimu sana baba wakwe wao sasa baba mkwe akitoka kukojoa afu akashika jidude lake then mkasalimiana si utakuwa umemshika nyeti kiaina teh teh.

    ReplyDelete
  13. Utaratibu tu wa kuosha mikono bongo hakuna. nakumbuka shule za zamani hasa primary na hata secondary kuna vyoo tu lakini hakuna masinki na bomba za kuoshea mikono. Na labda vijijini utakuta vyoo vingine ni vya shimo . Maji yenyewe saa nyingine yanaenda kuchotwa mbali. Tatizo pia unakuta kukata makucha sio mazoea kwanza viwembe vyenyewe mpaka ukanunue inakuwa taabu na nail cutter sio sana vijijini. Dawa ni kubania tu mkono. Kushikanashikana mikono out

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...