Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. tehehehe...kweli jamaa wa kipanya ni noma. I love it!
    A picture is truly worth a thousand words!
    Safi sana...

    Tz yahitaji kubadilisha system ya kupiga kura sasa. Haya mambo ya chama kimoja kuwa na 80% bungeni si vizuri hata kidogo katika mambo ya utawala. We need proportional representation sasa...lakini hii nayo chi chi em bado itapata over 50%.


    mtoto

    ReplyDelete
  2. nakukubali sana wewe mtoto yani ni mtoto halafu unatoa mawazo mazuri big up mttoto by mkubwa

    ReplyDelete
  3. Ebwana eeh, ndio maana Amir alivyokwenda ZIM. Jongwe alimwambia dogo hunielezi kitu!!!Si mnaoona mambo yale yale tehe teheeee. Miji silaha ile mikubwa mikubwa na ji meli lile la ZIM zilikuwa za nini? na kule Tarime zana zimeenda za nini?? Afrika ni Afrika man

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...