Msanii chipukikizi kutoka kijiji cha Itaka,wilaya ya Mbarali moani Mbeya,Huruma William Mgalla mwenyew umri wa miaka 20,akitembea juu ya kamba iliy kuubaurudisha umati wa watu uliohudhuria mkutano wa hadhara uliohutubiwa na JK wakati wa ziara yake ya Mbeya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Du! hayo mapozi na miondoko aliyonayo utadhani anatembea chingi tu ama kwenye ngazi za kawaida. Ananikumbusha msanii mmoja wa kujikunjakunja enzi hizo tuliokulia mbeya akiitwa Pindu (msisitizo Pindu, maana majina yanaweza kufananafanana hivi na mengine). wadau wa mbeya wa miaka ya 1990 mwanzoni mnamkumbuka Pindu?

    ReplyDelete
  2. I hope Ruge Mutahaba has seen this. He might need this guy in Tanzania House of Talents.
    Mr. Misupu please get hold of Ruge so he can recruit this talented jamaa.

    ReplyDelete
  3. Kweli iki ni kipaji cha ain yake. Hivi ile Commitee ya Olypic hakuna michezo kama hii ili aandaliwe mapema kwa mazoezi zaidi ili atuwakilishe uko? Uenda husiwe mchezo huu lakini michezo ya kubalance. Wadau mnasemaje

    ReplyDelete
  4. Huyu dogo haogi lakini lazima nimpe sifa zake. Hivi washikaji mnafahamu kuwa kuna Mfaransa miaka ya 1970 mwanzoni aliwahi kutembea juu ya kamba nzito ya waya kati ya magorofa yale mawili yaliyipigwa na Osama Sept, 11 kule New York? Alianza hivi hivi kwa kufunga kamba juu ya miti Paris na kutembea, baadaye akafanya maajabu. Hivi sasa yuko New York, ni mtu mzima kidogo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...