mabingwa wa soka wa media day 2008 uhuru na mzalendo wakiwa tayari kutoa dozi. uhuru na mzalendo ndio mabingwa wa jumla mwaka huu
business time na majira fc
mwananchi stars
this day&kulikoni rangers
mwananchi na uhuru katika netiboli. uhuru walishinda
abdallah majura wa BBC akibusu medali ya dhahabu ya mieleke aliyojinyakulia sasa hivi kwenye bonanza la waandihi la media day 2008 msasani beach club. majura hakuwa na mpinzani kwenye mchezo huo. shoto ni angetile osia wa mwananchi na mdau bantulaki toka mji kasoro bahari tamasha hili limedhaminiwa na tanzani breweries
issa mnaly wa global publishers (kati) na dennis sebbo wa EATV walikuwepo kucheza mchezo wa pilau
ma champion kibao wapo
meza kuu ya mwananchi newspapers

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. MH.BAROZI WA ZAINI BROTHER MAJURA AMEKOSA MPINZANI KIVIPI KWANI MPOKI BUKUKU MZEE WA SUMO ALIKUWA WAPI?

    ReplyDelete
  2. shikamoo kaka michuzi,mh hata mie napenda kujiunga kwenye huo nchezo wa pilau,linanogaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  3. Hivi kigezo kimoja wapo cha mtu kuwa mwandishi wa habari ni lazima uwe na KITAMBI enh? Maana hapo kwenye hizo picha naona watu wana MAVITAMBI kwa kwenda mbele. Hatari !!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...