mpiganaji athumani hamisi (pili shoto) katika benchi la ufundi la tsn ilipocheza fainali za nssf na kutwaa ubingwa. mpiganaji athumani hamisi yuko sauzi katika hospitali ya millspark state hospital anakopata matibabu kufuatia ajali ya gari aliyoipata huko kibiti mwezi uliopita. hali yake inasemekana inaendelea vyema na wadau wa sauzi si vibaya mkamtembelea kumpa pole. wapiganaji wenzio tunaku-miss supa-sab wetu ambaye ukiingia uwanjani lazima ulie na nyavu

Michufuzi...jamaa alikukosa kosa ya mgongo...!!..lol
ReplyDeletePoleni kwa msiba wa Roy, dah, imeshtua hiyo, sanaa imepoteza kichwa ambacho mkono wake ulikuwa unakubalika na wa tofauti sana!! R.I.P.
Mchofomvu wa US..