hoteli ya kempinski kilimanjaro leo usiku. hii ni katika kuendeleza libeneke la taswira ambapo sasa wadau wapenzi wa picha wameanza kumiminika kwa wingi katika globu yao maalumu ya taswira ambako utakutana na mambo kama hayo na mengi mengine.
basi kama wewe ni mmoja wa wadau wa taswirazzz usikose kutembelea http://libenekelataswira.blogspot.com/
kupata darasa, burudani, maoni, ukosoaji wa kujenga na mengineyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Naomba kuuliza swali hivi hotel ya kempinski kilimanjaro ni kilimanjaro hotel ya zamani ama ni sheraton hotel ya zamani.Samahani kama sieleweki.Nimetoka bongo kitambo wazee.

    ReplyDelete
  2. Thanks Michuzi kwa kufungua hiyo site...nimeobookmarks na kila siku nitakua huko.

    Huwzi amini nina album 15 zenye picha 200 kila moja na hiyo nikabla ya digital world sassa hivi nina cd sijui ngapi....Kupiga picha ndio kilevi changu.

    Hapo juu Kempinski ni kilimanjaro ya zamani...

    Hiyo picha imetoka sio utani

    ReplyDelete
  3. SASA HAPO HOTELI NI IPI?....NI HILO JENGO LILILOPIGIKA NUSU KWENYE PICHA AU HAYO MAGOROPHA MAWILI YALIYOTOKA KAMILI?

    ReplyDelete
  4. NINAAMINI UNAPOPIGA PICHA LAZIMA AWEPO MLENGWA (subject), LAKINI KATIKA PICHA HII NIMESHINDWA KUAMINI KAMA HOTELI INAYOTAJWA KUWA NDIYO MLENGWA KWANI HAKUNA DALILI ZOZOTE ZAKUWEPO HOTELI KATIKA PICHA HIYO LABDA TU MTU ANILAZIMISHE NISEME IPO.LABDA HAYO MAJENGO YANAYOONEKANA VIZURI ZAIDI NDIYO HOTELI INAYOTAJWA KAMA ITAKUWA IMEKUA.

    ReplyDelete
  5. heeeeeee mpigaji hajatulia
    ayo magorofa mawili amrefu ni benk kuu,Kempiski ni iyo ilokatwa upande

    ReplyDelete
  6. hello michuzi nitanga tangazo langu ingawa sio mahali pake hapa mie nahitaji nyimbo za bolingo,zouk pamoja na za dini zote ziwe mp3 bolingo ziwe200 zouk ziwe150 dini ziwe 200 ntazinunua zote hizi sawa simu yangu ni 0755 631515 james nipo dar

    ReplyDelete
  7. hello michuzi nitanga tangazo langu ingawa sio mahali pake hapa mie nahitaji nyimbo za bolingo,zouk pamoja na za dini zote ziwe mp3 bolingo ziwe200 zouk ziwe150 dini ziwe 200 ntazinunua zote hizi sawa simu yangu ni 0755 631515 james nipo dar

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...