bosi wa masoko wa vodacom tanzania ephraim mafuru akielezea kuhusu kuanzishwa kwa huduma ya blackberry za bei poa za kampuni hiyo ambao imeuzindua usiku wa kuamkia leo hoteli ya moevenpick, dar
wadau wakijidai na blackberry zao mpya za voda
mafuru akiwaeleza bosi wa star tv samuel nyalla na bosi wa masoko wa tbl david minja wa tbl kuhusu matumizi ya blackberry.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Naomba kuuliza mnapo sema huduma ya blackberry what do you mean exactly?Do you mean outlook services?Pay monthly au kitu gani?Maana i have a blackberry mobile phone. I dont get it when you say huduma ya blackberry or do you mean a Blackberry company has opened its own in tanzania through vodacom? Nieleweshe ili nijuwe mwenzio

    ReplyDelete
  2. Nakuona Arkie (picha ya pili kushoto, big up
    Ila na mimi swali ni kama mdau wa 12:54 sijaelewa hii blackberry na Vodacom ni nini. Kuuliza hakuna gharama, ina maana naweza kupata blackbery na/kwa namba ya voda nikalipia taratibu kwa makataba au?

    ReplyDelete
  3. Ebwana ndioo...hata mie nimekonfyuzika hapa,tunaomba ufafanuzi!

    ReplyDelete
  4. Huduma za BB maana yake mteja wa Vodacom anaweza kupata huduma za internet kupitia BB yake(mteja kulipia kabla na baada)...pia unaweza ukaingia kwenye mpango wa kulipia baada ukapewa BB model uitakayo...ukitimiza masharti ya mkataba...la kama unayo BB yako unapatiwa provision ya access BB services...utapata hali zote .
    kama access internet,configure emails account 10...etc(BES) na BIS...auto synch toka mail server yeyote(domino,exchange,novel)

    ReplyDelete
  5. Anon wa kwanza asante kwa swali lako

    ReplyDelete
  6. Tena afadhali nyie wenzangu hapo juu, hata mna kaaidia kidogo.mimi ndiyo kabisa hii kiinglish not reachable.hili ni tunda au simu? Linatumikaje jamani?Kuna siku hapa kwenye mtandao mtu mmoja aliuliza kama anaweza kuja na blackibeli yake Tanzania au la.Hebu atuambie anaitumiaje hiyo? Balozi naomba usituone washamba

    ReplyDelete
  7. MBona nasikia hizo blackberry hazina internet, sasa mnaoisema service za blackberry maana zina all the fetuares kama za dunia ya kwanza? Please let us know na pia muweke wazi deal zake. Maana yake malipo kwa mwezi na unapata nini. Mbona makampuni yetu yanamatatizo ya kujitangaza? Hivi hawa wachumi wanaokuja dunia ya kwanza wanajifunza nini. Mfano Marekani nikitaka simu ya mkono naingia kwenye mtandai na ninaona makampuni yote ta simu yameweka wazi service zao, lipa dola hii unapata dakika 500 na bure kuanzia saa moja usiku hadi asubuhi, unlimited text message, internet, radio na upukupuku mwingineo. Hadi leo hii natafuta wireless internet service Bongo na i'm going crazy kupata hii information. Wadau nisaidieni!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  8. Michuzi ebu tutafutie paprovider wote wa simu za mkononi TZ hata TTCL nao wape kila mtu siku yake hapa awasilishe kwa muhtasari na tena kwa lugha lahisi inayoeleweka (si zaidi ya krasa mbili za A4)kila mmoja juu ya huduma zao hususani zile zinazohusiana na internet (wire or wireless).

    Wawe wakweli na wawazi kueleza hata na simu zinazoweza kukubalaiana na huduma hizo mfano hapa mmeongelea blackberry mimi nina iphone na sioni chochote cha ziada isipokuwa kuitumia kama simu ya kawaida tu.
    Semeni gharama zenu kwa uwazi endapo tutataka kupata mfano wire less connections kwenye laptop zetu tunalipa nini mwanzoni na je malipo kwa mwezi au kwa credits yanaendaje na mtueleze mapana na marefu ya miunganisho (connections) zenu.

    Nakubalina na wadau waliopita kuwa TZ ofisi za masoko hazifanya kazi zao zinavyopaswa halafu mara kadhaa wanakuwa si wawazi kueleza ukweli halisi juu ya huduma. Sema kweli na kweli itakuletea Wateja kibao hapa duniani na na pia kukufanya kuwa mrithi wa uzima wa milele!

    ReplyDelete
  9. Balozi wa Zain hivi unaruhusiwa kutangaza mambo ya Voda na wengineo? Hawa jamaa wameniudhi mimi ni mteja wao mzuri (high value) na wa miaka mingi na hawakunialika kwenye tafrija. Sasa nihame au?

    ReplyDelete
  10. naomba kuuliza hivi huyo david minja ,..ndio alikuwa TBL ya arusha?
    michuzi naomba jibu plzzzzzzzzzzzzzzzz

    ReplyDelete
  11. mchangiaji mwenye iphone anatakiwa kuijua zaidi hy simu iko juu sana karibu sawa na BB unaweza ukapata internet,ukaweka emails kumi ukawa unapokea push emails zako na kama uko 3G ver unapata hata mails toka exchange....kwenye BB internet ipo wadau lakini lazima sim card ipate access ndio ambayo utailipia 36,000 kwa mwezi..karibu vodacom ppf tower 3rd floor corporate solution, simu 0752703247 muda wa kazi au piga 0754705000 asante

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 10, 2009

    Nilikua naitaji simu za blackbelly za voda.So please may you tell me how I can get them,through 0713514188.and tell me the price.Naomba wakala wenu yoyote anipigie na kunielewesha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...