Home
Unlabelled
addis bai naiti sooo....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi,
ReplyDeletehiyo picha ya kwanza mikono yako umeiweka kama unapiga shot ktk pool vile!
Mkuu wa wilaya, picha ya pili suruali yako inaonekana kwenye paja uliipiga ribit kidogo, au ndo mambo ya safari za kushutukizwa nini?
ReplyDeleteMichuzi we unakuta ngoma unajiingilia tu kuna ngoma zingine huwa zinachezwaga na wanawake pekee, unaweza ukaingia kumbe ni ngoma ya wanawake tu. Utachekwa wewe.
ReplyDeleteHalafu ulikuwa unataka kucheza ngoma kweli au ulikuwa unamlia timing huyo demu- yaani unajiuliza umtokee vipi?
Wacha hizo Michuzi . Tumekustukia. Sie wengine wazoefu kwenye mambo hayo
Msalimie mdau Lubuva hapo Embassy
ReplyDeletehahahahahha! Burudani tosha kabisa!
ReplyDeletenaona jamaa wenye kijani hapo nyuma picha ya kwanza na ya pili wametilia yebo yebo
ReplyDeletemh michuzi waweza opoa uko maana kuna watoto wakali balaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteAlafu we michuzi angalia sana kwani kuna miwaya huko!! Oh hoo wewe subiri kama utaendelea na hayo mabega yao kabla hawajakufundisha mabega ya chini. Wataaluma hao mabinti hao, oh hhhh!
ReplyDeleteMichuzi ulitaka kuleta mambo yako ya KONOZZZZ kwa huyo demu?
ReplyDeleteKumbe kwenye mambo ya naiti huendagi na ze fulanazzzzz!!
ReplyDeleteUmependeza!
Kaka Gee, Ar.
hapo mzee michu unaoneka bongo la tourist kama wazungu vile wakija africa kujichanganya na local people muhimu alafu mhhh wahabeshi wapo bomba itabidi nitembee huko vp walikusifia au ulishindwa kukata shingo ungewafundisha mugongomugongo
ReplyDeleteAiseeeeee, kumbe mzee wa Zain(abu) unatisha!! Naona hapo we ulikua unacheza ngwasuma tu, hakuna cha kuchezesha mabega wala nini!
ReplyDeleteUsirudi na Mhabeshi tu,lol
ReplyDeleteMisosi yao ushakula weye? KUNA BUKRA 'kama mkate' ANJERA(chapati)
ReplyDeleteMziki ndio kama hivyo unacheza mabega na shingo kama ulienda na mauno yako itabidi ufunge brek kama za TOM na JERRY.
Mziki ukichanganya wanasema Ajipu ajipu.
Nawajua hao.
MDAU
michuzi, safari hii umevaa na sio zile suti zinazokuvaa.
ReplyDeleteKama wenyewe ni mahiri katika kukata shingo na mabega, basi kwenye malavidavi ya denda watakuwa ni kiboko!
ReplyDeleteAngalia msije gongana vichwa tu!
ReplyDeletemmmmh!! makubwa aya ya michu jamani
ReplyDeleteafu totoz za kihabesh n kisomali ba'kubwa yan tamaa kwenda mbele
hahahahahaaaaaaa,,,,ze michu ze ngomaz there
nimepita adddis ababa for 2 days , hiyo kona nimepita hapo,hapo michu lazima uliondoka na loose ball, adada addis hawana noma ila uwe na kisu, wanapokea euro na hela yao ina thamani wanalinda uchumi na culture yao at any cost, i like ethiopians for that.........
ReplyDeletewabongo wengi ukiwin hujui culture,wala nn we unaenda kivyako tu
Inaelekea kwamba hapa Afrika jamii nyingi za wakulima hutikisa au kukata kiuno wakati wakicheza ngoma mfano wamakonde wazaramo wa waluba wa DRC na walozi wa zambia, na jamii za wafugaji kama wamasai watusi wao wanatikisa mabega na vichwa wadau hii imekaje? hebu ibueni mifano zaidi tupate uthibitisho!
ReplyDeleteAcha fix Mkuu wa Wilaya!!! hebu twambie hilo toto la nyuma yako picha ya kwanza uliyekuwa unampigia maspeed ulimpata? au umeshampa mwaliko wa kushuka bongo atembelee wilaya yako kama mgeni wako. Kila la heri sitashangaa ukirudi tena vakashion Addis...LOL!
ReplyDeletemihcu eeee siku vaa kuaptula/pensi nyanya basiiiii
ReplyDeletehahahaaaa
totoz balaaaaa
Addis Ababa Mswano sana. Hamna noma. pasi ya bongo unapata viz abila matatizo hata kama wana ubalozi kwetu. Hilton Hotel ndio usiseme. Maraha tupu. Sijataka kuondoka ku-connect ndege yangu. Ethiopia Arlines walinichukua toka eapoti mpaka hotelini, makulaji, bieri, mademu hawaringi na wote kama miss universe. Kwa kweli Mheshimiwa Balozi, inabidi nirudi huko tena kabla ya demu wangu kushtuka.
ReplyDelete