najiunga kucheza na kundi la bole hapa addis ababa. wakati sie hucheza kwa kukata mauno wenzetu hukata shingo na mabega mpaka chini...
ukiwekwa kati lazima ukate shingo na mabega kama uchezavyo ngoma ya kimasai ama litungu ya wakurya. mambo ya mauno ya kimayenu huku hakuna
wapigaji ala
safu ya ushambuliaji ya kundi hilo la bole-
wanapendeza wakiwa jukwaani





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 23 mpaka sasa

  1. michuzi,
    hiyo picha ya kwanza mikono yako umeiweka kama unapiga shot ktk pool vile!

    ReplyDelete
  2. Mkuu wa wilaya, picha ya pili suruali yako inaonekana kwenye paja uliipiga ribit kidogo, au ndo mambo ya safari za kushutukizwa nini?

    ReplyDelete
  3. Michuzi we unakuta ngoma unajiingilia tu kuna ngoma zingine huwa zinachezwaga na wanawake pekee, unaweza ukaingia kumbe ni ngoma ya wanawake tu. Utachekwa wewe.

    Halafu ulikuwa unataka kucheza ngoma kweli au ulikuwa unamlia timing huyo demu- yaani unajiuliza umtokee vipi?

    Wacha hizo Michuzi . Tumekustukia. Sie wengine wazoefu kwenye mambo hayo

    ReplyDelete
  4. Msalimie mdau Lubuva hapo Embassy

    ReplyDelete
  5. hahahahahha! Burudani tosha kabisa!

    ReplyDelete
  6. naona jamaa wenye kijani hapo nyuma picha ya kwanza na ya pili wametilia yebo yebo

    ReplyDelete
  7. mh michuzi waweza opoa uko maana kuna watoto wakali balaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  8. Alafu we michuzi angalia sana kwani kuna miwaya huko!! Oh hoo wewe subiri kama utaendelea na hayo mabega yao kabla hawajakufundisha mabega ya chini. Wataaluma hao mabinti hao, oh hhhh!

    ReplyDelete
  9. Michuzi ulitaka kuleta mambo yako ya KONOZZZZ kwa huyo demu?

    ReplyDelete
  10. Kumbe kwenye mambo ya naiti huendagi na ze fulanazzzzz!!
    Umependeza!
    Kaka Gee, Ar.

    ReplyDelete
  11. hapo mzee michu unaoneka bongo la tourist kama wazungu vile wakija africa kujichanganya na local people muhimu alafu mhhh wahabeshi wapo bomba itabidi nitembee huko vp walikusifia au ulishindwa kukata shingo ungewafundisha mugongomugongo

    ReplyDelete
  12. Aiseeeeee, kumbe mzee wa Zain(abu) unatisha!! Naona hapo we ulikua unacheza ngwasuma tu, hakuna cha kuchezesha mabega wala nini!

    ReplyDelete
  13. Usirudi na Mhabeshi tu,lol

    ReplyDelete
  14. Misosi yao ushakula weye? KUNA BUKRA 'kama mkate' ANJERA(chapati)

    Mziki ndio kama hivyo unacheza mabega na shingo kama ulienda na mauno yako itabidi ufunge brek kama za TOM na JERRY.

    Mziki ukichanganya wanasema Ajipu ajipu.
    Nawajua hao.
    MDAU

    ReplyDelete
  15. michuzi, safari hii umevaa na sio zile suti zinazokuvaa.

    ReplyDelete
  16. Kama wenyewe ni mahiri katika kukata shingo na mabega, basi kwenye malavidavi ya denda watakuwa ni kiboko!

    ReplyDelete
  17. Angalia msije gongana vichwa tu!

    ReplyDelete
  18. mmmmh!! makubwa aya ya michu jamani
    afu totoz za kihabesh n kisomali ba'kubwa yan tamaa kwenda mbele
    hahahahahaaaaaaa,,,,ze michu ze ngomaz there

    ReplyDelete
  19. nimepita adddis ababa for 2 days , hiyo kona nimepita hapo,hapo michu lazima uliondoka na loose ball, adada addis hawana noma ila uwe na kisu, wanapokea euro na hela yao ina thamani wanalinda uchumi na culture yao at any cost, i like ethiopians for that.........
    wabongo wengi ukiwin hujui culture,wala nn we unaenda kivyako tu

    ReplyDelete
  20. Inaelekea kwamba hapa Afrika jamii nyingi za wakulima hutikisa au kukata kiuno wakati wakicheza ngoma mfano wamakonde wazaramo wa waluba wa DRC na walozi wa zambia, na jamii za wafugaji kama wamasai watusi wao wanatikisa mabega na vichwa wadau hii imekaje? hebu ibueni mifano zaidi tupate uthibitisho!

    ReplyDelete
  21. Acha fix Mkuu wa Wilaya!!! hebu twambie hilo toto la nyuma yako picha ya kwanza uliyekuwa unampigia maspeed ulimpata? au umeshampa mwaliko wa kushuka bongo atembelee wilaya yako kama mgeni wako. Kila la heri sitashangaa ukirudi tena vakashion Addis...LOL!

    ReplyDelete
  22. mihcu eeee siku vaa kuaptula/pensi nyanya basiiiii
    hahahaaaa
    totoz balaaaaa

    ReplyDelete
  23. Addis Ababa Mswano sana. Hamna noma. pasi ya bongo unapata viz abila matatizo hata kama wana ubalozi kwetu. Hilton Hotel ndio usiseme. Maraha tupu. Sijataka kuondoka ku-connect ndege yangu. Ethiopia Arlines walinichukua toka eapoti mpaka hotelini, makulaji, bieri, mademu hawaringi na wote kama miss universe. Kwa kweli Mheshimiwa Balozi, inabidi nirudi huko tena kabla ya demu wangu kushtuka.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...