"Ukarimu na uzalendo nilio onyeshwa muda wote niliyokuwepo hapa Marekani ni kitu ambacho kitakuwa moyoni daima. Nawashukuru kila mmoja wenu kwa kufanikisha ziara yangu na Mungu akipenda tutaonana tena hivi karibuni" Ally Kiba alisema haya kabla ya kupanda ndege kuelekea Tanzania.
Ally Kiba amemaliza ngwe ya kwanza ya tour yake na atarudi Marekani tarehe 11/25 kumalizia ngwe ya pili ambapo siku ya alhamisi 11/27/09 atakuwepo HOUSTON TEXAS kwa shoo maalumu ya Thanksgiving kabla ya kuelekea ATLANTA GEORGIA 11/28/08 ambapo anatarajiwa kuperform kwenye club kubwa na mashuhuri ATLANTA iitwayo "Club Dreams" kwenye kilele cha sikukuu ya Thanksgiving.
11/29/08 Ally Kiba ataelekea Oakland, Ca kuwatumbuiza washabiki wake wote wa magharibi ya marekani Tarehe 12/01 siku ya Ukimwi Duniani, pia anatarijiwa kufanya show maalumu huko New Hampshire kabla hajaelekea Seattle, kwa show nyingine tarehe 12/06.
Wakazi wote wa DALLAS TEXAS na vitongoji vyake MNAOMBWA mjitokeze kwa wingi kumuaga Ally tarehe 12/13/08 ambapo atafanya show yake ya mwisho nchini MAREKANI.
ALLY KIBA ANATARAJIA KUONDOKA 12/16/08 KURUDI TANZANIA TAYARI KWA SHEREHE ZA KRISMAS NA MWAKA MPYA..
Aksanteni.
Kwa maelezo zaidi tafadhali nenda
Mwanamuziki wa Bongo flava aliefanya ziara ndefu ali kiba kavunja rekodi hakuna wa kumfikia.Viva Kiba
ReplyDeleteKWELI KAKA UNATISHA POZI LAKO TU NIMELIPENDA,LINAENDANA NA FUN YAKO!
ReplyDeleteHiki kijamaa kumbe kiko handsome namna hii! Safi sana
ReplyDeleteDogo sio siri umepata exposure kubwa sana maishani mwako kamwe huta sahau. Outlook ipo bomba, mavazi nk. Uko juu.
ReplyDeleteHakuna alipiga tour kama wewe bongo, katika historia ya bongo flava.
mungu amlinde na mapromota feki tu,wasiwe wasimfanye tourist fedha wachimbie wao..........!big up kiba.by usinijue1
ReplyDeleteMbona OHIO mmetusahau? Ali Kiba njoo na huku basi
ReplyDeleteKulikoni tena mbona inasemekana kuwa Ali Kiba atakuwa ujerumani na Sweden mwezi november?
ReplyDeletemmmm majuu kuzuri yaani miezi miwili kang'aa hivyo. je angekaa mwaka
ReplyDeletedogo umejindaa safi sana sema mie hujanifurahisha nadhani fanya hima tuwasiliane
ReplyDelete