nimepita hapa face book na kukutana na sura hii ambayo imenikumbusha mbali sana, hususan kampuni yake ya faces international ambayo ilikuwa chachandu kubwa kwa fani ya umodo nchini ambapo masupa modo kibao waliibukia. Amina Mongi tunakukumbuka na ulale sehemu njema huko uliko
nimepita hapa face book na kukutana na sura hii ambayo imenikumbusha mbali sana, hususan kampuni yake ya faces international ambayo ilikuwa chachandu kubwa kwa fani ya umodo nchini ambapo masupa modo kibao waliibukia. Amina Mongi tunakukumbuka na ulale sehemu njema huko uliko

He! Huyu kumbe alifariki.
ReplyDeleteNamkumbuka jina lake lilikua limepamba sana nikiwa namaliza form four.
Jamani maisha haya ni mafupi kweli
Ni kitambo tangu utangulie mbele ya haki, nakumbuka was '99 kama sikosei ulipata mzinga pale wami ukitokea moshi kula sikuu ya xmass...nilipata habari toka kwa keizer kahama aliyekuwa mtangazaji wa clouds fm ambae kwa sasa nae ni marehemu kupitia kipindi cha trafic jam.....kweli ni kitambo, upumzike kwa amani ehee dada amina na mungu akusamehe zambi zako.
ReplyDeleteUwii Mtu mwenyewe mbona ana mapengo? walimbonda wenziwe akaamua kukimbia mambo ya modo moja kwa moja kuogopa kung`olewa yote nini?
ReplyDeletedah amina! nani kama amina! yeye ndio kainua fani ya model na urembo nchini tanzania.alianza yeye,sasa hivi ndio tunaona kina maria sarungi,but these lady right here did a lot bwana! ukitaja urembo,huwezi acha taja amina! alimzindua miriam odemba. i miss u amina! Pumzika kwa amani na pale kwenye neema
ReplyDeleteAmina! dah,Michuzi asante sana kwa picha hii.Huyu dada angekuwa mbali sana sasa hivi kama bado angekuwa hai.Alikuwa ana roho ya upendo sana,na nina uhakika huko aliko alipokelewa vizuri sana na wenyeji wa huko
ReplyDeleteNakumbuka Amina Mongi alivyohangaika na Mariam Odemba (wakati huo anaitwa Mariam Ikoi)...Mariam alikuwa msichana mtundu, lakini Amina aliweza kumsimamia mpaka siku zake zilipo fika na Mungu akamuita Mbinguni.
ReplyDeleteMara yangu ya mwisho kumuona Amina Mongi ilikuwa March 1999 pale La Dolce Vita, tulikuwa pamoja tunaangalia live maonyesha ya urembo “Face of Africa” yakifanyika Afrika Kusini. Mariam Odemba alimaliza mshindi wa 3, Amina Mongi aliruka kwa furaha mpaka machozi yalimtoka.
Huyu ndiye Amina Mongi niliyemfahamu mimi, mwenye upendo na huruma kwa wengine. Maendeleo huletwa na wenye moyo, Amina Mongi kweli ni mfano wa kuingwa.
Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi. Amina
Anon wa 11:13
ReplyDeletehujakosea sana huyu dada alifariki wakati wa Y2K, alikuwa anarudi toka Moshi baada ya kuhudhuria mwaka mpya wa 2000 kwao kwa kuwa ilidhaniwa kuwa ndiyo mwisho wa dunia na hivyo kupata ajali ya gari iliyokatisha maisha yake papo hapo.
Soames, Miriam Ikoa na Miriam Odemba ni watu wawili tofauti.
ReplyDeletemdau miriam ikoa alikuwa miss dar es salaam sasa yupo celten/zain.
ReplyDeleteMungu akuondolee adhabu ya kaburi Amina.. You are always in our prayers.. Always Baba mdogo (dRU)
ReplyDeleteenzi zile miriam odemba alikuwa anaitwa miriam julius, miriam ikoa na odemba ni watu wawili tofauti
ReplyDeleteenzi zile miriam odemba alikuwa anaitwa miriam julius, miriam ikoa na odemba ni watu wawili tofauti
ReplyDeleteSamahani wadau. Mbona kafanana na Ms Rukia Mtingwa? Wana undugu?
ReplyDeleteWanafananaga sana hata mm nshawachanganyaga mno
Deleterrrrrrrrrrrrrrr.iiiiiiiiii.ppppppppppppp
ReplyDeletehuyu dada alikuwa na roho nzuri sana Mungu amrehemu.
NILIKUWA NAIPENDA SANA BOB STYLE YAKE ...
ReplyDeleteHALAFU ALIKUWA SOCIAL SANA JAMANII
CHINI KUMEEMEZA WATU WENGI SANA. ILIKUWA SIKU ZA MWANZONI MWA MWAKA 3RD JANUARY KAMA SIKOSEI ..DADA HUYU ALIVYOPOTEA KWA AJALI YA GARI..
MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI
PAM
Ahsante wadau kwa masahihisho..kumbukumbu yangu ya miaka 10 inaniangusha..!! Kumradhi kwa Miriam Ikoa kwa kumfananisha. Ahsante
ReplyDeleteshe was the best. Amina aliinua fani ya urembo Tanzania.Alikuwa na moyo na alipenda alichofanya.I will never forget her. Rest in Peace .
ReplyDeleteI didn't know her as a person but masha allah she is beautiful and even in the photo you can almost see right through her, those days alikuwa na ITV akitangaza na yule kaka Othman Njaidi oh my, those were the days anyways life goes on the rest is history :-)
ReplyDeleteAnony wa November 17, 2008 3:00 PM, we do not speak ill of the dead. May God forgive you. Rest in peace Amina.
ReplyDeleteNi kweli kabisa, kama Amina angekuwa hai angekuwa mbali sana tena sana. Alipenda sana mambo ya usanii.
ReplyDeleteAlikuja Bagamoyo April 1994 tulipokuwa tunafanya shoot ya sinema Maangamizi the Ancient One. Alifanya interview safi sana na ilionyeshwa kwenye ITV. Hivi hiyo footage bado ipo kweli? Nilisikitika sana nilipoambiwa kuwa alifariki katika ajali ya gari.
REST IN ETERNAL PEACE AMINA.
Anonymous wa 17,2008, 3.00 PM. wewe ni mpumbavu sana tena akili yako ni fupi. lait ungejua usingesema hayo yote. hujafa hujaumbika. May God forgive u, u dont know what ur saying. My IN LAW Amina rest in peace wherever your.
ReplyDeleteMdau uliesema Miriam Odemba ndo Miriam Ikoa acha kudanganya hao ni watu wawili tofauti. Usiandike mambo mengi usiokuwa na uhakika nayo.
ReplyDeleteRest In Peace dada Amina bado tunakumbuka juhudi na kazi zako
Hello from 2019
ReplyDelete