katibu mkuu wa umoja wa mataifa mh. ban ki moon akiwa na viongozi wa afrika katika mkutano wa kutafuta suluhu ya mgogoro wa jamhuri ya kidemokrasia ya kongo uliofanyika nairobi. toka shoto ni rais yoweri kaguta museveni wa uganda, rais mstaafu wa burundi pierre buyoya, JK, rais mwai kibaki wa kenya, ban ki moon mwenyewe, rais paul kagame wa rwanda, pierre nkurunzinza wa burundi rais mstaafu wa nigeria olesegun obasanjo na rais joseph kabila wa drc
Home
Unlabelled
ban ki moon na viongozi wa afrika wakiwa nairobi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
mkuu wa wilaya ya nanihii caption ina walakini kutoka Rais mstaafu wa Nigeria anayefuata ni Jenerali Joseph Kabila wa DRC na siyo Pierre Nkurunzinza wa Burundi.
ReplyDeletejamani wee anno wa kwanza una kifafa cha macho na maandishi??soma uelewe alaaaa!!
ReplyDeleteila duh hii safu haina "gender sensitivity"kbs wote midume??mboni wako viongozi wanawake wa mfano,,africa is africa
Mimi nadhani wewe anonym wa 6:33 una matatizo ya kisaikolojia, maelezo yapo sawa sawia. wewe tu macho yako.
ReplyDeleteAnony wa kwanza bwana!!!! we acha tu, inaonyesha kwa koran ndiyo mwenyewe. mambo ya kisegele nyuma.
ReplyDeletehilo tapeli la kinaijeria mbona kavaa pazia!!!
ReplyDeleteAfu huyu Ban ki moon aliwahi kuwa gori kipa? naona kasimama ka kaseja
ReplyDeletewee annon unaesema "kavaa pazia" ~~~""***@@@--++@@@ kabisa,,,iyo misuti ya ulaya ndo nini utumwa mtupuuu wehu kbs,,wezenu wavaa mavazi yako kiasili
ReplyDelete