Fremu inapangishwa iko chang'ombe-
Temeke kati kati ya maduka mawili na Bora.

Fremu Inatazama bara bara ya Changombe.

Fremu / vyumba ukubwa wa wastani nzuri zinafaa kwa biashara mbali mbali kama duka la chakula, kuuza nguo, spares za magari n.k.
Bei ni 70,000/= kwa mwezi kando ya gharama za umeme na ulinzi.

Wasiliana na
Abduel Urassa kwa NO.. 2862873
( jioni kuanzia saa 11 kuendelea)
Mobile 0713 689665 - Saa yeyote

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. kaka michuzi naomba na mimi niweke ombi hapa.

    mimi natafuta NYUMBA YA KUPANGA. chang'ombe. iwe ya 2 0r 3 bed rooms self with a kitchen/dining/siting kubwa/parking. please kwa yeyote mwenye habari za kunisaidia aniandikie kwa magnipal@hotmail.com. Madalali wamenichosha sana please.Asanteni sana.

    ReplyDelete
  2. ingekuwa viuri ungetuma na picha TUONE VIKOJE VYUMBA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...