Fremu inapangishwa iko chang'ombe-
Temeke kati kati ya maduka mawili na Bora.
Fremu Inatazama bara bara ya Changombe.
Fremu / vyumba ukubwa wa wastani nzuri zinafaa kwa biashara mbali mbali kama duka la chakula, kuuza nguo, spares za magari n.k.
Bei ni 70,000/= kwa mwezi kando ya gharama za umeme na ulinzi.
Wasiliana na
Abduel Urassa kwa NO.. 2862873
( jioni kuanzia saa 11 kuendelea)
Mobile 0713 689665 - Saa yeyote
Mobile 0713 689665 - Saa yeyote
kaka michuzi naomba na mimi niweke ombi hapa.
ReplyDeletemimi natafuta NYUMBA YA KUPANGA. chang'ombe. iwe ya 2 0r 3 bed rooms self with a kitchen/dining/siting kubwa/parking. please kwa yeyote mwenye habari za kunisaidia aniandikie kwa magnipal@hotmail.com. Madalali wamenichosha sana please.Asanteni sana.
ingekuwa viuri ungetuma na picha TUONE VIKOJE VYUMBA
ReplyDelete