mdau haki ngowi (shoto) akiwa na mkurugenzi wa wilna international ya japan, wilna, wakiwa katika vekesheni bagamoyo. wilna ni maarufu kwa uuzaji wa magari ya kijapani nchini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Sio tunasikia Wilna aka Willy kaoa dada wa Haki Ngowi...heheheh Lily kazi kwako
    ooh ok asante kwa kuwarusha...huyo bwana Haki Ngowi na Trafiki wtu wa usalama wa barabarani enzi hizo..

    ReplyDelete
  2. sasa wanarushwa ili iweje?michuzi sikuelewei

    ReplyDelete
  3. watu wengine bwana. Sasa we anony wa 2:19 ambacho huelewi nini? kama humuelewi si ule kona, umelazimishwa kusoma blog hii? Blog = web log. it is a personal log/diary, na mwandishi ana uhuru wa kuitumia atakavyo yeye ili mradi havunji sheria. Usipopenda yaliyomo humu fungua blog yako na wewe. Hii ni blog ya jamii; inaweka mambo yahusuyo jamii kuanzia habari za ndani na nje na pia taarifa za wadau aka wanajamii wanapokuwa ktk vakesheni, wanakula nondo, etc

    ReplyDelete
  4. Mfano kwa kina Michuzi wanaopenda 'vakesheni' nje ya nchi wakati hata bongo unaweza ukaenjoy big time. August mwaka huu nilikuwa hotel moja pale bagamoyo na familia yangu kwa siku mbili cha kushangaza baadhi ya huduma za wafanyakazi wa hotel zilikuwa tofauti kati yetu na wanazopewa wazungu nadhani kwa sababu tulikuwa tunaongea kiswahili. Tujaribu kuwa wakarimu kwa watu wote as longer as wanalipa sawa na watu wengine awe mtu mweupe au mweusi, ndio maana taifa kubwa duniani limemchagua mtu mweusi awe raisi wao mambo ya kumthamini mtu kutoka na rangi yake yamepitwa na wakati.
    Mdau UK

    ReplyDelete
  5. mczobi nadhani hii commenti nimemuelekezea michuzi sio wewe, swali hujaulizwa wewe,umejibu,ukiulizwa utajibu nini? KULA KONA UKO

    ReplyDelete
  6. yes Wilna got marrried to a girl named Jema Kimbu recently ,she is working with Easy Finance, is she haki Ngowi's sister? she is beautiful Ngowi do you have another sister i would like to be your in law too

    ReplyDelete
  7. Hawa nao ndo wale walioiba fedha za BOT sasa wako vekesheni. walienda kuzirudisha na kusikilizia kama majina yao nayo yamo. heeeeeeeeeeeeeeee.

    ReplyDelete
  8. duh uyu jamaa (haki)anahamasisha walhali vile,,,basi tuuu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...