mbio za magunia
twanga pepeta walikuwepo kutikisa

paliukwa hapatoshi uwanja wa samora

lile tamasha la kilamwaka linaloitwa mtikisiko wa 2008 linaloandaliwa na kituo cha redio cha ebony fm mjini iringa limefanyika jmamosi katika uwanja wa samora tamasha hilo ambalo limedhaminiwa na vodacom na coca-cola liliachagumzo kwa bendi ya twanga kutikisa na michezo mbalimbali ikifanyika ikiwepo mbio za magunia na vingine vingi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...