Home
Unlabelled
inter house
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MDAU ULIYEWEKA HII PICHA, ASANTE
ReplyDeleteLAKINI UNANITOA MATE MZEE NIKIKUMBUKA MAMBO YALIYOKO KUSHOTO MWA HIYO PICHA (BREAKPOINT MZEE!)
MAMBO YA KULAMBA BIA, KUCHEZA POOL, KULA SAMAKI, KULA MBUZI,KUANGALIA MPIRA....DAH HOME SWEET HOME (WHEN YOU CAN AFFORD IT;-))
MDAU
JAPAN
Nimekuja shanghai kwenye mkutano wa makazi na ujenzi wa majengo. Kwa kweli majengo yaliyoko hapa Shanghai yanependeza. Hilo jengo la Interstate nalo ni zuri. Ni vizuri wenzetu wa mipango miji pale Ilala wakajielekeza kupendezesha jiji siyo muradi magorofa kama yalivyo hivi sasa. Maghorofa yanajengwa lakini urembo wa majengo hautiliwi maanani hata kidogo.
ReplyDeleteSweeeet! Huyo architect wake jina lake litangazwe wallah! Very creative.
ReplyDeletemhhh pazuri kama kigali????
ReplyDeleteheeee my home place k/nyama apo??duh home sick ile mbaya
ReplyDeletetrue braek-point apo pembezoni
Inter House,
ReplyDeleteHapa ndio zilipo ofisi za Computer Consult Ltd.
Kampuni ya wazalendo vijana, yenye mambo makubwa saaaaana...Inatisha!
BIG UP sana wapambanaji wazalendo.
Jengo sio baya na step nzuri kwa local architects, ila kusema Creativity na kupata zawadi....mmmh inategemea?
ReplyDeleteukilinganisha na maghorofa ya kariakoo, manzese yes, - excellent,
ukilinganisha na kempinsiki, international house, barclays etc, poor
ukilinganisha na other countries, south africa, manhattan, italy, dubai, singapore, - very very poor
haya ni maoni yangu inaonekana bado safari ni ndefu kwa local architects inabidi kutembea na kusafisha macho ili kuwepo kwenye premier league ya majengo duniani.
speechless. Ndio yanatakiwa haya nje ya mji. Ila yasije yakawa yanajengwa sehemu za makazi ya watu saaaana
ReplyDeleteIla ulivyolipiga picha usike huwezi amini lilivyopendeza
hili jengo lingependeza sana kama lingekuwa skyscraper..
ReplyDeletebut ni zuri anyways...