inter house iliyopo kijitonyama, dar, usiku kuamkia leo. hili ni mojawapo ya majengo yanayovutia sana ambayo wenyewe wameamua kujenga nje ya jiji.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. MDAU ULIYEWEKA HII PICHA, ASANTE
    LAKINI UNANITOA MATE MZEE NIKIKUMBUKA MAMBO YALIYOKO KUSHOTO MWA HIYO PICHA (BREAKPOINT MZEE!)
    MAMBO YA KULAMBA BIA, KUCHEZA POOL, KULA SAMAKI, KULA MBUZI,KUANGALIA MPIRA....DAH HOME SWEET HOME (WHEN YOU CAN AFFORD IT;-))
    MDAU
    JAPAN

    ReplyDelete
  2. Nimekuja shanghai kwenye mkutano wa makazi na ujenzi wa majengo. Kwa kweli majengo yaliyoko hapa Shanghai yanependeza. Hilo jengo la Interstate nalo ni zuri. Ni vizuri wenzetu wa mipango miji pale Ilala wakajielekeza kupendezesha jiji siyo muradi magorofa kama yalivyo hivi sasa. Maghorofa yanajengwa lakini urembo wa majengo hautiliwi maanani hata kidogo.

    ReplyDelete
  3. Sweeeet! Huyo architect wake jina lake litangazwe wallah! Very creative.

    ReplyDelete
  4. mhhh pazuri kama kigali????

    ReplyDelete
  5. heeee my home place k/nyama apo??duh home sick ile mbaya
    true braek-point apo pembezoni

    ReplyDelete
  6. Inter House,

    Hapa ndio zilipo ofisi za Computer Consult Ltd.

    Kampuni ya wazalendo vijana, yenye mambo makubwa saaaaana...Inatisha!

    BIG UP sana wapambanaji wazalendo.

    ReplyDelete
  7. Jengo sio baya na step nzuri kwa local architects, ila kusema Creativity na kupata zawadi....mmmh inategemea?

    ukilinganisha na maghorofa ya kariakoo, manzese yes, - excellent,

    ukilinganisha na kempinsiki, international house, barclays etc, poor

    ukilinganisha na other countries, south africa, manhattan, italy, dubai, singapore, - very very poor

    haya ni maoni yangu inaonekana bado safari ni ndefu kwa local architects inabidi kutembea na kusafisha macho ili kuwepo kwenye premier league ya majengo duniani.

    ReplyDelete
  8. speechless. Ndio yanatakiwa haya nje ya mji. Ila yasije yakawa yanajengwa sehemu za makazi ya watu saaaana

    Ila ulivyolipiga picha usike huwezi amini lilivyopendeza

    ReplyDelete
  9. hili jengo lingependeza sana kama lingekuwa skyscraper..
    but ni zuri anyways...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...