leo mchana nikimsindikiza mdau eapoti ya julius nyerere nimekuta chase kibao kwenye duka moja hapo uwanjani ambavyo vimechapwa upya na kuwekwa majaketi mapya. taito kibao zipo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kusoma novel ni kupoteza muda. Kuna vitabu kibao vya maana watu wanaviacha na kukimbilia fiction.

    ReplyDelete
  2. Duu nimesoma sana vitabu hivyo na jamaa mmoja Kinondoni Muslim.Nakumbuka vitabu kama Mission to siena, to viena,have this one on me,sucker punch.Kuna mpelelezi moja anaitwa mark girland. miaka ya 87,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...