JK akipokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi mteule wa sultanate of oman mheshimiwa mratu yahya issa al bakri leo ikulu, dar
JK akipokea hati za utambulisho toka kwa balozi mteule wa cuba hapa nchini mheshimiwa ernesto gomes diaz ikulu, dar, leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mheshimiwa "ernesto gomes diaz ikulu"! Natamani anagaliiona hii mwalimu wangu wa shule ya msingi alonifundisha grama ya Kiswahili (Mrs Uledi).

    ReplyDelete
  2. Michuzi, Naomba nipatie Profile ya huyu BALOZI wa Oman, Kwa sababu naona hilo jina la MRATU kama anaasili ya kijijini kwetu huko Morogoro, hilo si jina la kiarabu labda akatae asili yake
    Thanks

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...