kijasti akiwajibika
Mambo vipi mdau wangu,

Mimi mzima kaka, kipindi hiki niko kwa watani wa jadi (Nairobi) nashiriki mradi wa animation. Mradi huu uko chini ya taasisi moja toka London inaitwa Tiger Aspect Production inashirikiana na kampuni moja ya kenya inaitwa Homeboyz.
Tunatumia michoro ya Tingatinga hivyo kuna wachoraji wa tingatinga 5, animator niko peke yangu!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Wakenya zaidi ya 60 na wenyewe wadhungu kama 6 hivi.
Basically ulikuwa ufanyike Bongo ambapo wabongo kibao wangekula ajira kuanzia watu wa sound, wachoraji, magraphic artists, watu wa utawala, maakauntanti nk. Lakini wadhungu walipokuja kwenye survey miaka michache iliyopita wakakuta tuko kwenye mgao wa umeme wa kufa mtu.

unakumbuka ishu ya bwawa la Mtera?? machale yakawacheza, wakauhamishia Nairobari!!!! Ah Tanesko wamenyima wabongo ajira!!! Picha zaidi na maendeleo ya mradi huu wadau pia watembelee

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nathan hongera sana nimeona kazi yako pamoja na masudi. Mimi ni projestus rwegarulila tulichora wote na hasa enzi za goeth institute kama mwakumbuka NGO ya TAYA basi ni mimi niko huku kwa obama naendeleza libeneke. E-MAIL
    rwegap@yahoo.com na simu ni 3017687965. piga tuongee juu ya
    animation kwaajili ya michezo ya macartoonist wa kesho ulionionyesha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...