Meneja wa Huduma za Jamii wa kampuni ya simu ya Zain Tanzania, Tunu Kavishe(kulia) akifafanua jambo kuhusu Zain inavyotoa huduma kwa jamii, kwa wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Denver kilichopo Colorado, Marekani wakati walipozuru ofisi za Zain ili kujua
shughuli mbalimbali za utendaji kazi zinavyoendeshwa katika kampuni hiyo, Dar
Meneja wa Huduma za Jamii wa kampuni ya simu ya Zain Tanzania, Tunu Kavishe(kushoto) akizungumza na wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Denver kilichopo Colorado, Marekani wakati walipozuru ofisi za Zain ili kujua shughuli mbalimbali za utendaji kazi zinavyoendeshwa katika kampuni hiyo, Dar

Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya simu ya Zain Tanzania, Khaled Muhtadi (kushoto) akiwaeleza jambo wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Denver kilichopo Colorado, Marekani wakati alipotembelea ofisi za Zain ili kuona shughuli za utendaji kazi zinavyoendeshwa
katika kampuni hiyo, Dar
katika kampuni hiyo, Dar
LOL on the top pic, them 2 white chics look like they have no clue of what she's talking about...huh!, Huh!?. Teach them Bongolese 101 Tunu.
ReplyDeleteDuh ingekuwa mie na Vyeti vyangu feki na kiengereza changu cha ye-si na No-O naona ningedai naumwa siku hiyo kazini waliaamuwa kumchaguwa mwanadada awaelezeee sio bora hahaah! itabidi nizidi kusoma la aibu manake kinachotakiwa hapo lugha ya taifa then watafsiriwe ila kiengereza atakuwa hapo ndio kipo mbele walimu wa kiengereza mpo? cha uganda na kenya ndio karibu kile na british na US AND A siwezi. Kevin.
ReplyDeleteJamani Michuzi, hivi huyo Tunu Kavishe ameolewa? Naweza kupata contacts zake. Jamani huyo mtoto ameshanitesa vya kutosha. Lol...!!
ReplyDeletekhalid muhtadi????zainabu
ReplyDelete