Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Sina nilichoambua....MSAADA KWENYE TUTA JAMANI..............

    ReplyDelete
  2. sina nilichoambua.......Konda MSAADA!

    ReplyDelete
  3. sana tuuu bado miaka kadhaa tuje kama kawa .......kwa si tunapenda sana nchi kuliko box

    ReplyDelete
  4. Kaka Michuzi, KP aendelee kukaa huko maana nchi imekwisha pata kiongozi mpaka baada ya 2010, na jamaa ajihadhari na baridi aya funike masikio yasije ganda asisikie kitu toka bongo

    ReplyDelete
  5. Kp ana maana rais mstaafu ameenda Russia kujifunza toka kwa Putin ni vipi anaweza kuwa waziri mkuu hapo baadae kama vile Putin alivyochukua hio post huko Russia mara tu baada ya kumaliza muda wake wa uraisi.
    Habari ndo hiyo....
    Cha Chandu - UK

    ReplyDelete
  6. KP Una mambo wewe sasa umeamua kumshikia bango Mr. Putin mambo ya kirusi ni sawa na bongo tu.ila tofauti ni kwamba wenzetu ni nchi tajiri nawajitoshereza kwa kila kitu siyo kama sie omba omba halafu msaada tukiupata tunawachia wazee wa EPA huku wakina KP wanatembea bila viatu....JK naye karibu ataanzisha hiyo issue na NEC itapitasha bila kipingamizi...watu wanapeana tu CCM WANAPOKEZANA VIJITI WHO IS NEXT I DONT KNOW BUT I CAN GUESS....halafu nchi inazidi kudidimia.
    Suala la Putin ni zito kwa wana- siasa ila kwa raia wa kirusi wote wana muunga mkono maana tangu jamaa aingie madarakani Urusi mambo yao yamekuwa tambarare siyo anayo iongelea Mr. Michuzi ila tambarare ya ki-kweli , kwa warusi kitu muhimu ni maisha safi wenyewe hawana haja ya kubadili Maraisi ...katika pointi hiyo naungana na wao kwa sababu Mtanzania wa kawaida JK hata akae miaka 15 mingine kama watu wana maisha safi basi huyo ndiyo raisi...President is not only political figure but should be father of national who make sure that Muhimbili kuna dawa, vyuo vikuu wanafunzi wanasoma, pesa ya Epa imerudishwa na kuwekwa kwenye miradi ya jamii, barabara zimetengenezwa, tatizo la maji na umeme limepatiwa ufumbuzi,vyombo vya habari vina uhuru (freedom of press-Michuzi atanielewa ),mikataba inasaniwa kwa faida ya wananchi wa Tanzania , duuuu list hii inaweza kuendelea mpaka .....huyo ndiye raisi tunaye mtaka atutawale miaka hata 50...na hivyo ndivyo wamuonavyo majority of Russians Mr.Putin but in political point of view jamaa kachemsha sana but way out maisha yanakwenda na kwenye hii economic crisis Marekani hasipo angalia jamaa na wachina wana mu overtake taratibu.....
    Ila KP hongera sana hii ulivyo itoa mie binafisi nakupa
    keep up.........
    Mdau wa Kamachumu

    ReplyDelete
  7. this is so hilarious!! ..spot on KP!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...