John McCain Barack Obama

unataka kujua baadhi ya vyombo vya habari vikubwa vinakava vipi uchaguzi? wala usipate shida. cheki vinuganishi hapo chini unapofuatilia matokeo ya uchaguzi marekani bila kuwa na haja ya kubofya upya kila sehemu. wadau angalieni jinsi globu zinavyotumika katika uchaguzi huu wa wenzetu. na sie tutakuwa hivi mwaka 2010 na huko mbeleni?
46dcb55c0b59224e9d5d7812e91.101.html

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. tunamuombea kila la heri mr OBAMA ashinde.

    ReplyDelete
  2. MICHUZI UR A BIT SLOW!

    OBAMA IS ALREADY THE PRESIDENT!!


    AMINA YUSUF

    GAL POWER!

    ReplyDelete
  3. Ahahaaaa unajua umenifurahisha balozi sababu kitu kama hiki hakiwezekani kwa Tanzania.Mimi nipo huku so far Electrol polls za CNN Obama anaongoza kwa 207 wakati Mccain ana 135.Fox f Obama anaongoza pia kwa 207 kwa 135 za Mccain hapa anatakiwa mtu kufikia 270 tu so unaweza kuona Obama is leading.Kuhusu kufika huku haiwezekani kwa sababu ya mara nyingi unakuwa si wa ukweli na uwazi hapa kwa mfano cnn kila kinachoendelea mnaonyeshwa na kuna wataalamu wanazungumzia kamavile David,Woolf,Anderson Cooper,Campbell,John Kingi.Ukiacha hivyo wana screen ambazo wanajua kabisa wapi kuna nguvu ya chama wapi hakuna.Ni ngumu labda mwaka 500.Naomba kuwakilisha ni mchango wangu na mawazo tu msinichukie.

    ReplyDelete
  4. Announced at 10.02 Obama the president of United States sworn in office by 20 Jan

    ReplyDelete
  5. brothe mimi mdau kutoka uk ninampa ongera sana Mr Obama kwa ushindi mkubwa tu aliyojichukulia kwani ni mfano kwa wote kua ukijitahidi utafika so M/mungu ampe uwezo mkubwa na pilika za kuongoza nchi Amini

    ReplyDelete
  6. OBAMA IS THE PRESIDENT OF UNITED STATES OF AMERICA

    ReplyDelete
  7. Now you can party as you wish....The first AA president in the US.....kila aliyekua hampendi sasa wanajidai I voted for him .....hypocrite...kesho kazini kila mtu rafiki yangu.... simu napokea sasa hivi utazania mimi ni mdogo wake Obama.....nilikua nimeturn off TV...nilikua naogopa kuwatch the results....

    At least now we can tell out kids hapa US if you work hard you can be anyone you want to be....

    Na being raise by grandparents is not the reason for one not to do well

    ReplyDelete
  8. wadau wote tumpe ongera sana Obama kua President of American kwa kua na vote nyingi za ushidi na wale wabaya wamekuballi kushindwa na wametangaza kumpa ongera r obama m/mungu ampe maisha marefu Amini
    Ndambe uk

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...