wanaume tmk chini ya mh. temba wakijiramba uwanja wa ccm kirumba kwenye fiesta 2008 wikiendi ilopita.
sehemu ya umati wa wadau waliofika kujiramba na fiesta 2008 uwanja wa ccm kirumba
msanii joe makini akifanya vitu vyake ccm kirumba, mwanza. jumamosi hii fiesta 2008 inahamia dar kwenye viwanja vya leaders club



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hilo nyomi si la kitoto,hivi huo ubongo uflava unapendwa hivyo!kweli kila kitu na wakati wake.

    ReplyDelete
  2. naomba ufafanuzi tafadhali hivi neno sahihi ni KUJIRAMBA au KUJILAMBA?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...