Home
Unlabelled
mabalozi wa wazindua khanga za zain
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
BWANA MICHUZI:
ReplyDeleteKHANGA KWA MWANAMME HAIWEKWI BEGANI. HIYO HUTUMIA KINADADA. KWA SISI WANAUME UNAIVAA KIUNONI HASA WAKATI WA SHUGHULI. UKIWEKA BEGANI UTAELEWEKA VIBAYA.
KWA WATU WA PWANI WANAWEZA KUKUTUPIA LAANA KUWA MTOTO SI RIZKI AU MTOTO AMEHARIBIKA.
Mwanamume msuli siyo khanga baba. kama vipi nikupe namba yagu ya simu.....
ReplyDeleteheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,,michu khanga iyo bora ungeishika tu mkononi begani tena???tena umeikunja?? tih tih
ReplyDeleteI hope zinagawanywa bure nikupe address yangu unitumie basi na mimi niwatangazie biashara yao
ReplyDeleteNadhani ni za kuadvertise biashara yao na sio anather product line yao.
Doo..mjumbe mkuu!!! naona unatujia na style ya Khanga, Hakuna shakha yakhe...hii hapo namba yangu 0126568992
ReplyDeleteBro Michu, hope khanga itachukuwa nafasi ya the FULANAZ walau kwa muda.
ReplyDelete