mabalozi wa zain wakizindua khanga maalumu za zain hivi karibuni. khanga hizo zitapatikana nchini kote

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. BWANA MICHUZI:

    KHANGA KWA MWANAMME HAIWEKWI BEGANI. HIYO HUTUMIA KINADADA. KWA SISI WANAUME UNAIVAA KIUNONI HASA WAKATI WA SHUGHULI. UKIWEKA BEGANI UTAELEWEKA VIBAYA.

    KWA WATU WA PWANI WANAWEZA KUKUTUPIA LAANA KUWA MTOTO SI RIZKI AU MTOTO AMEHARIBIKA.

    ReplyDelete
  2. Mwanamume msuli siyo khanga baba. kama vipi nikupe namba yagu ya simu.....

    ReplyDelete
  3. heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,,michu khanga iyo bora ungeishika tu mkononi begani tena???tena umeikunja?? tih tih

    ReplyDelete
  4. I hope zinagawanywa bure nikupe address yangu unitumie basi na mimi niwatangazie biashara yao

    Nadhani ni za kuadvertise biashara yao na sio anather product line yao.

    ReplyDelete
  5. Doo..mjumbe mkuu!!! naona unatujia na style ya Khanga, Hakuna shakha yakhe...hii hapo namba yangu 0126568992

    ReplyDelete
  6. Bro Michu, hope khanga itachukuwa nafasi ya the FULANAZ walau kwa muda.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...