Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Sasa nyie wabeba maboksi na watoro mnamshukuru nani kule???ahhh sikujua shetani pia ana wafuasi!!!

    ReplyDelete
  2. mambo ent. number one.

    ReplyDelete
  3. mambo entertainment mnatisha kwa shughuli za kibongo hapa wichita,kansas USA. Tunawakubali wazee.

    ReplyDelete
  4. Jamani tunaomba tupatiwe japo picha kidogo itakayotuwezesha kufahamu maana ya hiyo "THANK-GIVING"......mnashukuru nini na huyo anayeshukuriwa na nani na kwa lipi?....huku bongo hatuelewi hii maneno.

    ReplyDelete
  5. mambo entertainment in wichita ni fully presha, fully doze, wazee wa gwasuma, wazee wa mujini,funika mbovu, kama fm academia ya bongo.yaani ni kila kitu.

    ReplyDelete
  6. Hata kama watu tunabeba maboksi lakini dola 5000 za mfukoni hazitupigi chenga. kuliko tungekuwa bongo.teh teh teh kama wewe ulikosa visa jaribu tena.

    ReplyDelete
  7. watu wa bongo kwa nini mna wivu? nyinyi kila siku tunasoma kwenye haya mablog mnajilamba! yaani kila kona ni fiesta jilambe. tuacheni na sisi wa ughaibuni TUJILAMBE,AU SIO KAKA MICHUZI.

    ReplyDelete
  8. KIFUPI THANKSGIVING ni kumshukuru mungu kwa kukulinda na kukuepusha na matatizo ya mwaka mzima na pia kukuwezesha kwa mafanikio ambayo umeweza kuyapata na kumuomba mungu akuwezeshe kuufikia mwaka mwingine.Pia ndio muda mzuri wa kukutana na ndugu, jamaa na marafiki, na familia kwa ujumla kusalimianana kubadilshana mawazo.MDAU mwingine naomba anisaidie.

    ReplyDelete
  9. Ni siku ya kula turkey na pie.hii ni sikukuu ya wamerakani kama ilivyo huko sikukuu ya sabasaba,sasa sisi tukisherehekea tatizo lako nini?mbona nyie huko mna jiramba,sijui mna mnajiramba nini.Wabongo uvivu ndio maana mna enda bar baada ya kazi,luch time mnachukua masaa zaidi ya mawili na kunywa bia yaani hamheshimu kazi kabisa.

    ReplyDelete
  10. Huku ughaibuni kila mtu ana gari,actually tunalipwa hela nzuri ndio maana haturudi huko.ATM zenyewe zina lindwa na polisi maji kila siku yanakatika,umeme,foleni ndio usiseme.Vipi ulikosa visa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...