Home
Unlabelled
mambo ya thanx giving wichita
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sasa nyie wabeba maboksi na watoro mnamshukuru nani kule???ahhh sikujua shetani pia ana wafuasi!!!
ReplyDeletemambo ent. number one.
ReplyDeletemambo entertainment mnatisha kwa shughuli za kibongo hapa wichita,kansas USA. Tunawakubali wazee.
ReplyDeleteJamani tunaomba tupatiwe japo picha kidogo itakayotuwezesha kufahamu maana ya hiyo "THANK-GIVING"......mnashukuru nini na huyo anayeshukuriwa na nani na kwa lipi?....huku bongo hatuelewi hii maneno.
ReplyDeletemambo entertainment in wichita ni fully presha, fully doze, wazee wa gwasuma, wazee wa mujini,funika mbovu, kama fm academia ya bongo.yaani ni kila kitu.
ReplyDeleteHata kama watu tunabeba maboksi lakini dola 5000 za mfukoni hazitupigi chenga. kuliko tungekuwa bongo.teh teh teh kama wewe ulikosa visa jaribu tena.
ReplyDeletewatu wa bongo kwa nini mna wivu? nyinyi kila siku tunasoma kwenye haya mablog mnajilamba! yaani kila kona ni fiesta jilambe. tuacheni na sisi wa ughaibuni TUJILAMBE,AU SIO KAKA MICHUZI.
ReplyDeleteKIFUPI THANKSGIVING ni kumshukuru mungu kwa kukulinda na kukuepusha na matatizo ya mwaka mzima na pia kukuwezesha kwa mafanikio ambayo umeweza kuyapata na kumuomba mungu akuwezeshe kuufikia mwaka mwingine.Pia ndio muda mzuri wa kukutana na ndugu, jamaa na marafiki, na familia kwa ujumla kusalimianana kubadilshana mawazo.MDAU mwingine naomba anisaidie.
ReplyDeleteNi siku ya kula turkey na pie.hii ni sikukuu ya wamerakani kama ilivyo huko sikukuu ya sabasaba,sasa sisi tukisherehekea tatizo lako nini?mbona nyie huko mna jiramba,sijui mna mnajiramba nini.Wabongo uvivu ndio maana mna enda bar baada ya kazi,luch time mnachukua masaa zaidi ya mawili na kunywa bia yaani hamheshimu kazi kabisa.
ReplyDeleteHuku ughaibuni kila mtu ana gari,actually tunalipwa hela nzuri ndio maana haturudi huko.ATM zenyewe zina lindwa na polisi maji kila siku yanakatika,umeme,foleni ndio usiseme.Vipi ulikosa visa!
ReplyDelete