miriam odemba (kati) akiwa na basilla mwanukuzi (shoto) na tassy kwenye shoo enzi hizo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Daah!!! Maisaha yanabadilika kwa kasi sana...Yaani siamini toka kwenye batiki hadi kwenye vichupi...kaaazii kweli kweliii

    ReplyDelete
  2. Kulia ni Tally Kisesa na sio Tassy

    ReplyDelete
  3. Simshangai kushinda huko majuu. Hii kwa kweli ni kifaa ya nguvu sana. Mwanaume yoyote akiona atatoa jasho na la nywele. Ni kitu ya Musoma ya nguvu sana hii.

    ReplyDelete
  4. Mwenzenu nimepitwa na haya mambo ya ulimbwete..hivi Miriam Odemba wa zamani na huyu mpya ni mtu mmoja au majina tu? Nakumbuka yule wa zamani yuko China. Naomba kueleimishwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...