barbeque ya tembo
katika maandalizi
katika maandalizi
Kaka hiyo ni nyama ya tembo niliifumania kijiji kimoja ikikaushwa baada ya tembo huyo kuwindwa na watalii, hapo ni imebanikwa kwa ajili ya kuigawa kwa wakijiji woote wa eneo husika. Nilifanikiwa kuionja sijui wewe… Quality ya picha sio nzuri ni simu hiyo kaka.
Mdau John Mnamba
Eeeewwwwwwww!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteHivi jamani mnakula hata nyama ya hatembo mamkubwa !!!!subhana lilahi.
ReplyDelete