Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania Wanaoishi Nchini Japani unapenda kuwakumbushawatanzania wanaoishi Tokyo na maeneo ya jirani kuwa ule mkutano wa watanzania wote utafanyika kama uliyotangazwa hapo awali yaani tarehe 30/11/2008 katika ukumbi wa Odakyusasagamihara huko Kanagawa-ken kuanzia saa kumi jioni.
Tunawaomba watanzania wote kuhudhuria kwa wingi ili kuweza kujadili masuala mbalimbali muhimu yanayotuhusu wote tunaoishi Japani
Ahsanteni
Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania Wanaoishi Nchini Japani
Kama mtu wa hapo Japan Anamjua bwana ISSA SHUNDA, naomba aniandikie tafadhali. ephraim34@yahoo.com
ReplyDeleteAsanteni.
Wasalaam