
wakati kesi ya Ngoma Africa na Baba wa kambo bado hipo kwa hakimu mteuzi!
mkuu wa wilaya ya Tageta Issa Michuzi, zogo zilimezidi kutanda kila kona za ughaibuni!
kuwa wimbo huo umeanza kutoa cheche !yaani kesi inaendelea lakini walalamikaji ngoma africa wanafanya kelele nje ya mahakama
tembele
baba-wa-kambo-the-ngoma-africa-band/#comments
Kusikiliza kesi hiyo
Kesi hii naona kaka msipu ni kubwa mno,tena wamekutafutia soo kubwa!
ReplyDeletesijui hitakuwa vipi?
vichaa wa ngoma africa wanatisha!!!!te!te! sasa hii kali ya kufungia mwaka,ras makunja kamatia uzi huo huo na madongo yako.
ReplyDeleteuwembe ule ule ulimnyoa mama kimwaga sasa umemgeukia baba wa kambo? kazi mnaijua
ReplyDeleteras makunja!!!hapa umetafuta baraha lingine tena? madongo yako
ReplyDeletehauna hata uruma? unamzomea baba wa kambo kwa nini?
tabia yenu mbaya ya kuwazomea wakubwa!tena tabia hii milisha onywa na mjomba wenu msondo mkasema mmekoma !sasa leo mbona mnarudia?
ReplyDeleteunajua ras makunja!mambo yako haya
ReplyDeletewatu yanatuacha hoi,yaani usione jambo ukalimezea lazima itakuwa hoja tena yene nongwa
jamani ngoma africa bila adabu
ReplyDeletemnaleta mzozo mahamani!wakati kesi yenyewe ndio kwanza inasomwa!
hakimu mkuu wa Tageta!kwanza mhukumu huyu ras makunja wa kuleta zogo mahakamani na adhabu yake achapwe viboko 12 makalioni,hili siku ingine hawe na nidhamu mahakamani
Ngoma Africa nadiriki kuwahita kuwa ni vijana wanao jitaidi kuhurudisha mziki wa dansi katika enzi zake za kutisha,kwa mdundo wao na tungo zake nawapa Big Up!
ReplyDeletekwani umefanikiwa
kazeni buti