obama alipokuwa vekesheni afrika mashariki

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 37 mpaka sasa

  1. du!! nimemkubali dogo Obama!!

    ReplyDelete
  2. Ama`kweli dunia ni inafunza ona hapo Obama alivyo choka mbaka kuwa Raisi wa Marekani leo hii.
    Hilini fundisho kwa wote, angalia hapo yuko kijijini , kakulia kijijni huyu na bibi yake huyo masikini , lakini leo ana fika White House na kukaa.
    jamani ni somo tosha , hebu angalia Obama alivyo kulia maisha ya shida, kubeba gunia, jamani tusidharau wabeba na wasukuma mikokoteni jamani.
    Hebu fikiri kutoka Kijijini kenya mbaka USa nakua raisi wa duni kweli Obama ni mfano wa kuigwa nakupa hongera sana maana sio wote wanaweza kutokea maisha ya chini hivyo na kusafiri hadi marekani nakuwa raisi kama wewe, ulikubali kuuacha UKenya na kuwa Mmarekani, hongera sana sana.
    Napia na wapa watu weusi wote wa marekani waliowezesha Obama kuwa raisi, maana Bila weusi Obama asingekwua raisi nawapa honegra sana .
    Obama udumu raisi wa milele.
    Sasa tuu asitusahau huku africa kutujengea mabarabara na hospitali zetu maaana sasa lazima akumbuke alipo toka picha hii itamuaibisha kama asipo kumbuka kua amekulia kijijini nakulelewa na bibi yake kijijini na leo ni raisi lazima akumbuke alitoka wapi.

    ReplyDelete
  3. japo analijua lumba la vijiji va africa kaona mwenyeweb sio mtu wakuhadisiwa manake nakumbuka enzi hizo za likizo lazima dingi akupeleke kijijini ukapate fleva ya maisha ya mabush safi sana hayo maisha kwa mtu anaenda mara moja lakini kwawenyewe wanaoishi huko du kazi ipo hiki kijiji nafikiri kitakuwa na maendeleo fulani hata toka kwa wenyewe bidii ya kazi itaongezeka kwa changamoto ya kuwa kijiji maarufu ulimwenguni zaeni watoto kwa wabaguzi huenda wakawa maraisi miaka ijao

    ReplyDelete
  4. Sio Obama tu hata watu tiliokulia mijini likizo zetu tulifanya hivi. Na yote hayo yamenifanya niappreciate every little thing in this worls



    I wonder kwa nini hawakuiposti hii picha wakati wa uchaguzi wakaishia kupost ile aliyokua amevaa kama taliban......but all in all it doesn't matter any more........he is the 44th US president now

    Ila hii picha inaniskitisha saaaana tu ukifikiria kuwa mtoto alikua mkubwa akaamu akutafuta mwenyewe kuona sehemu ambazo baba yake aliishi na kuwaona hata bibi yake. Jamani kuzaa na kuacha watoto huku waliko na kukuzwa na mama zao bila kujali yule mtoto akikua atajifikiriaje sio jambo zuri kabisa.

    ReplyDelete
  5. jamani watu sio lazima upost kama hujui ukweli. We anony wa November 17, 2008 9:57 PM muongo mkubwa. Nani kakuambia kuwa alikulia kijijini hapo? Hiyo ilikuwa mara 1 tu alienda kutembea kijiji alihcotokea baba yake.

    Ni kweli kuwa Obama grew up in modest means, being raised by his single mother and later his maternal grandmother. Ila sio kwamba ndio alikulia na bibi Sarah Obama unayemuona pichani hapo.

    Acha uongo jamani

    ReplyDelete
  6. Nshimimana aka Dumisane aka McZobi Nadhani hujui una chosema, huyo bibi ndio aliye mle Obama ndio Liye mkuza na hapo ni picha bado yuko kijijini na bibi yake , Kila habari wanasema Obama kalelewa na Bibi yake sasa wewe una bisna nini? kujifanya kujua tuu.

    ReplyDelete
  7. Mh anony Nov 17. 2008 9:57 Umechoka! Soma historia ya Obama vizuri bro itakusaidia kuchanganua comments zako pia utawasaidia wanakijiji wenzio ili angalau msipotoshane katika mashala haya.Kuna kitabu cha Obama Mjengwa kaandika nadhani ukikipata kidogo kitakupa mwanga kuliko jinsi unavyojudge kwa kuangalia picha.
    Siku njema

    ReplyDelete
  8. Da kweli kuna watu wanachekesha mno.. kama huyo anon wa Nov 17, 9:57 PM.

    ReplyDelete
  9. sasa wewe anonymous wa Tarehe November 18, 2008 1:46 AM aliyekuambia kuwa anonymous wa Tarehe November 17, 2008 9:57 PM kuwa ni dume ni nani?
    we unamwita mwenzio bro wakati humjui?

    ReplyDelete
  10. acheni kudanganyana nyie Obama hakulelewa na Bibi yake huko Kenya.Na Obama hakuujua Ukenya,ua utamaduni wa Kikenya,hapo alikwenda kutembea tu na amefika Kenya takribani kama mara 1-3

    Obama labda ameujua utamaduni wa Kiindonesia zaidi kuliko uafrika maana aliishi Indonesia kwa takribani ya miaka sita akiwa mdogo.Obama pia hakumjua kisawasawa Baba yake.maana alikutana naye mara moja tu akiwa mkubwa,kabla Baba yake hajafariki kwenye ajali ya gari mwaka 1982.Wazazi wa Obama waliachana akiwa ana miaka miwili.Hata ukifuatilia sana maongezi ya Obama haongei sana kuhusu Marehemu Baba yake au Bibi yake wa Kenya.Obama ni mmarekani kama wamarekani wowote.Na alizaliwa Marekani na amepitisha asilimia kubwa ya maisha yake Marekani,anafikiria kama wamarekani na ana utamaduni wa kimarekani,kwa hiyo sio mwafrika,maana kuna tofauti ya kuwa mchanganyiko au mweusi.Sio lazima weusi wote wawe waafrika,na waafrika wote sio lazima wawe weusi.Na hivyo hivyo sio lazima watu wote wa nchi za magharibi wawe weupe,kuna weusi wengine wanafikiria kwa kioo cha utamduni wa kimagharibi kabisa,na ndio huo tu utamaduni ambao wanaujua .

    ReplyDelete
  11. ANONY wa pili here is your ha ha ha haaaaaaa aaaaa umeniacha hoi,yakh kweli unaona ngozi ya Obama ilikuwa ya kijijini au unatuchezea akiri,?aaaa haaa umenimaliza,mwenzio alienda tafuta baraka akabeba na gunia kumsaidia bibi yake,masikini watu kama hawa always wanafanikiwa kwa nanma hii au nyingine.

    na mwengine kasema Obama kaona rumba la africa jamani mwenzenu kavaa raba mtoni na ana$ bills kaja jumrusha bibi yake vakisheni hiyo rumba kweli? labda kaona rumba la majirani wa bibi.

    all in all he is a great person
    may god bless is work.

    ReplyDelete
  12. Anon. wa Nov 17, 2008 9:57 PM na Nov 18, 1:22 AM you all got it wrong. Obama amezaliwa na kukulia Marekani. Amelelewa na bibi yake mzaa mama, Madelyn Dunham. Kwenye picha ni bibi mzaa baba Sarah H. Obama.

    Hiyo picha alikwenda kuitembelea familia ya baba yake mwanzoni mwa miaka ya 80.

    Get your facts straight before you argue buddy.

    ReplyDelete
  13. Kuna wajinga wengi humu ndani!

    mtoto

    ReplyDelete
  14. Wote mliotoa maoni yenu hapo juu hamju sawa sawa juu ya OBAMA, kwanza OBAMA si mkenya kama mnavyodhani ni Mwaamerika/USA angekuwa mkenya asingegombea urais wa USA, sifa ya kwanza ya kugombea urais USA ni lazima uwe mwaamerika wa kuzaliwa si wa kununua, pia ajakulia Kenya ila alienda Kenya wakati yupo High School tena tayari baba yake akiwa ameshakufa kwenda kuona alikotoka baba yake, baba yake alimuacha Hawaii akiwa ana umri wa miaka mitatu tu na alimuona mara moja tu alipokuwa na umri wa miaka mitano, baba na mama yake walikutana university of Hawii 1960 na kufanya urafiki na hatimae kuoana alipozaliwa tu baba yake alienda Havard University kufanya Masters in Economic alipomaliza akarudi Kenya hakuenda Hawaii tena, ukitaka kujuwa zaidi juu ya OBAMA soma kitabu chake mwenyewe si cha MJENGWA, kitabu chake kinaitwa AUDACITY OF HOPE amekiandika mwenye juu ya maisha yake, na sasa kinanunuliwa kama njugu hivi, ni hot cake na best seller in the world.

    ReplyDelete
  15. Hivi mbona ile picha ya Obama anavyuta bangi nnaificha au tuwatumie?

    ReplyDelete
  16. BRO MICHUZI,
    NAANDIKA KWA HERUFIKUBWA KUMAANISHA NAFOKA NA NIMEKASIRISHWA NA WATU WANAO TOA COMENT YA VITU HARAFU HAWAJUI. 1ST OBAMA HAJAKULIA KENYA, ALIENDA KENYA LIKIZO. 2ND OBAMA HAJALELEWA NA BIBI WA KIKENYA KALELEWA NA BIBI NA BABU WAZUNGU NDIO MAANA ANABEHAHAVE KAMA MZUNGU. 3RD, WALIO MPA OBAMA URAISI NI WAZUNGU SI WATU WEUSI. POPULATION YA WATU WEUSI NI LESS THAN 14% YA AMERICA POP. SPANISH UKICHANGANYA NA ASIAN AND THE REST IS NOT MORE THAN 20%. THE REST IS WHITE. AFTER ALL, DURING PRIMARY ELECTION BLACKS DIDN'T VOTE FOR OBAMA. BLACK WAMEANZA KUMBACK UP ALIVYO SHINDA PRIMARY.

    KWELI ANONY NOV.17.2008 9;57 UMECHOKA. SWALA LA BARABARA, UNAFIKILI OBAMA ATAKUJENGEA WEWE BARABARA WAKATI ANATAKA KUREKEBISHA UCHUMI. KWANZA HE IS NOT ABOVE THE LAW KAMA RAISI WETU. HAPO ALIPO LAZIMA AFUATE SHERIA ASIPOPO FUATA SHERIA KITAKACHOMTOKEA UTAMKATAA. KUMBUKA CLINTON NA LEWINSKY. KIFUPI USITEGEMEE ATATUMIA MADARAKA KUISAIDIA KENYA AU AFRICA. LAZIMA AFUATE PROTOCAL. THAT'S AMERICA BRO.

    ANGALIA KWA MAKINI KWENYE KIDEO 95% WATU WANAMZUNGUKA OBAMA NI WAZUNGU NA NDIO HAOHAO WAMEMUEKA HAPO HARAFU UNANIAMBIA WABAGUZI MBAGUZI WEWE. PUMBAFU.

    HAKUNA UBAGUZI WEWE TU NA LOW SELF ESTEEM YAKO. STEP UP YOUR GAME SON.
    BE LIKE OBAMA.

    IT IS WAT ITS.

    ReplyDelete
  17. Inashangaza kuona kuna watu wanakimbilia kutoa commments kwa kitu wasokijua, mdau wa Nov,17 @09: 57 inaelekea yeye hata tv haangalii. Obama alilelewa na mama yake na baba wa kufikia alipokua kidogo akalelewa na bibi mzaa mama Mmarekani ambaye alifariki siku chache kabla ya uchaguzi na ndio maana hata kwenye speech ya ushindi alimtaja bibi mzaa mama. Huko kenya aliwahi kwenda tu kutembelea kiji alichozaliwa baba yake, baba yake alimwachaga Obama na mama yake akiwa mdogo sana akarudi kenya kuoa akazaa watoto wengine. In short Barack hakuwahi kushi kenya!

    ReplyDelete
  18. KAMA MTU HUELEWI JAMBO BASI SI BUSARA KU-POST VITU AMBAVYO HUVIELEWI NA KUPOTOSHA WENGINE.

    OBAMA ALIZALIWA HAWAI KASKAZINI/MAGHARIBI YA CALIFORNIA HICHO NI KISIWA AMBACHO NI SEHEMU YA USA BUT WANAISHI WATU MACHANGANYIKO WENGI WAO NI ASIANS KAMA JAPANESE, FILIPINA, etc. ALIPOFIKISHA UMRI WA MIAKA MITANO IF AM NOT MISTAKEN YEYE NA MAMA YAKE PAMOJA NA BABA YAKE WA KAMBO AMBAYE NI M-INDONESIAN WAKAHAMIA INDONESIA AMBAKO OBAMA ALIANZA PRE-SCHOOL KTK SHULE YA KIKATOLIKI HUKO INDONESIA AMBAKO NI NCHI YA KI-ISLAM.BAADA YA KUFIKISHA MIAKA 10 MAMA YAE ALIMRUDISHA HAWAHII AMBAPO ALIISHI NA BIBI NA BABU YAKE AMBAO NI WAZUNGU PURE WALIOMZA MAMA YAKE ALIENDELEA NA SHULE AKIWA ANASOMA KTK SHULE MOJAWAPO ZINAZOHESHIMIKA HAPO HAWAHI(VILEVILE SIO KWAMBA GRAND-PARENTS WALIKUWA WACHOVU-NOOH,BIBI YAKE ALIKUWA PRESIDENT OF ONE OF HAWAIAN RESPECTED BANK),ALIENDELEA HAPA HADI AKAMALIZA HIGH-SCHOOL NA ALIFAULI VIZURI BUT SIO SANA, BAADA YA HAPA ALIKUJA HAPA CALIFORNIA AMBAKO ALISOMA JUNIOR COLLEGE HAPO LOS ANGELES NA BAADA YA KUHITIMU ALIENDA COLUMBIA UNIVERSITY HAPO NEW YORK AKIMALIZIA DEGREE YAKE YA KWANZA,NOT SO SURE, BUT I THINK ALIFANYA KAZI SEHEMU SEHEMU KAMA ILIVYOSEMWA(WALL STREET) NA MUDA SIO MREFU AKAELEKEA ILINOIS KTK JIJI LA CHICAGO AMBAKO ALIZUNGUSHA AKILI NA AKAONA YEYE ALIKUWA NI MTU WA WATU ZAIDI HIVYO AKAANZA KAZI YA COMMUNITY ORGANIZER KTK SEHEMU IITWAYO SOUTH SIDE HAPO CHICAGO,ILI KUWASAIDIA WATU WALOKUWA-DESPARATE FOLLOWING BEING LAID-OFF KTK KIWANDA CHA CHUMA NA KUSAIDIA HASA HASA JAMII YA WATU WEUSI WALOKUWA KTK MAISHA YA DHIKI,DRUGS,N.K. OBAMA ALIOMBA KUJIUNGA NA HARVARD LAW SCHOOL(ONE OF RESPECTED UNIVERSITY NOT ONLY IN THE US BUT IN THE WORLD) ALIKUBALIWA NA KWENDA HAPO KUBUKUA DEGREE YA PILI YA SHERIA IKIWA HAPA ALICHAGULIWA KUWA KUWA RAIS WA HIYO FACULTY IKIWA NI MTU MWEUSI WA KWANZA KUKALIA WAZIFA HUO,BAADA YA KUMALIZA ALIRUDI CHICAGO KUENDELEA NA U-COMMUNITY ORGANIZER AKIZOTOLEA NJE OFA LUKUKI ZA JOB ZA MCHUZI MZITO KUTOKANA NA HESHIMA YA KUWA RAIS HAPO HARVARD, NDIPO ALIPOJIINGIZA KWENYE POLITICTS KATIKATI MWA MIAKA YA TISINI KWA KUGOMBEA STATE LEGISLATOR NA KUPATA BAADAYE ALIPANDA CHATI NA KUWEZA KUGOMBEA STATE SENETOR WA ILINOIS 2005 NA KUPATA BAAYA YA KABLA YA HAPO KUSHINDWA, NDIPO 2007 ALIPOSEMA,today I announce my candidency for the president of USA,
    KWA HIYO WADAU KAMA HUELEWI KITU BASI SIO VIZURI KUPOTOSHA WENGINE WASIOJUA'
    OBAMA AMEWAHI KUFANYA SAFARI MBILI KWENDA KENYA,MOJA AKIWA UNIVERSITY KAMA UMWONAVYO KWENYE HIYO PIC NA SAFARI YA PILI ALIFANYA AKIWA TAYARI NI SENETOR WA ILINOIS 2005.
    OBAMA HAJAWAHI KUKAA KENYA,ALIENDA TU KUSALIMIA JAMAA WA UKOO WA BABA YAKE.
    OBAMA HAJAWAHI KUISHI MAISHA YA DHIKI.
    OBAMA KALELEWA NA BIBI YAKE MZUNGU ALOFARIKI SIKU MOJA BEFORE UCHAGUZI MKUU W USA.

    ReplyDelete
  19. Naomba nitoe mchango wangu kwa wadau hapo juu.Huyu Bibi wa Kikenya sio biological granny. Ni bibi mlezi wa Obama sr.
    Go find out.
    jengeni utamaduni wa kujisomea enyi watadanganyika

    ReplyDelete
  20. Sasa ndo nimejua ni watu wa aina gani wanaochangia hoja kwenye hizi blog zetu , jamani hamuoni aibu kueleza kitu msichokijua ? angalieni hii kitu inasomwa mahala pengi tu humu duniani mnadhani watu watatuchukuliaje watanzania watakaposoma maoni yetu kwenye kijiji hiki. Historia ya Obama iko wazi kwenye mitandao ( fungua google andika Barack Obama nenda kwenye biograph , utapata kila kitu tena kwa uwazi ) kinachoonekana ni kwamba watanzania tu wavivu wa kufuatiliwa mambo au ki- inglish is not richabo kama anavyosemaga michuzi .
    USHAURI : MICHUZI WAWEKEE WATU HISTORIA YA OBAMA KAMA ILIVYO ILI KUONDOKANA NA AIBU HII , TASWIRA YA KIWANGO CHA ELIMU KWA WATANZANIA IMETIWA DOA NA BAADHI YA MAONI KWENYE HOJA HII .

    ReplyDelete
  21. jamani mbona tunazidi kudanganyana????Obama ameishi sana kenya ila kwa siri,mie nashangaa eti mnaosema obama hajawahi kuishi kenya..halafu wewe unayesema obama hajawahi kuishi maisha ya shida kakudanya nani???usifananishe maisha ya shida uliyoishi wewe na ya obama,maisha ya shida yapo tu,ila shida zinatofautiana..........

    ReplyDelete
  22. OBAMA'S FIRST GIRL FRIEND LETTER REVEALED!!! SHE IS FROM MWEMBE BASHA MOMBASA KENYA!

    Dear Barrack!
    Hi. I am pleased that you have written to me. I search for the friend to
    correspond
    under the Internet and the further dialogue. My girlfriends have advised me the
    Internet and I
    have decided to find to myself the friend under the Internet. They have told me
    that on the Internet
    many lonely people which also want acquaintance and search the partner in life.
    It will be interesting
    to correspond with you and to find out about you. Probably you for which person
    I search also which
    to me will like. Now I was to be informed not much about me. I was born in city
    of MOMBASA where I have
    grown and studied, to me now 27 years and I was born August, 27, 1978. I love
    the city it am very
    beautiful, am especial to me to like park where I am usual spend time with
    girlfriends. To me to like
    to be and spend time in summertime. Also I like to read books in which write
    about love. My girlfriends
    count me romantic, but I do not know very much it would be desirable to be
    romantic and devoted liked.
    I think that I we shall find the partner in life with which are happy. I also
    love films about love.
    Especially to like me in films fidelity and honesty and certainly love. I think
    that the most important
    happiness in life it to find the love and to value to it. Now I want to tell
    where I studied also rules
    the best student's days. I studied at the Kimboi university as the
    manager and have received a
    speciality of the manager and now I spoke you about it that I work as the
    manager in one small trading
    company. To like me my work and I cope with work well. About which my parents I
    also would be desirable
    to inform me very much I like and I respect. My mum by name Irina. My father by
    name Onyango to him of
    65 years. My daddy worked 30 years as the driver of the automobile, now he on
    pension. Mine mum of 50
    years and she also to be on pension. My mum worked in shop as the seller
    earlier. I love very much my
    parents. My parents good and fair. I the only child in family, but always would
    be desirable me that at
    me the brother who might protect me. Probably when I will have family I shall
    try that I had children and
    it would be desirable very much for the boy and the girl. I would like to
    inform what clothes to me to
    like. My most important preference in clothes, that the clothes were beautiful
    convenient and that it
    was looked. I love especially jeans clothes. I very much like to put on
    beautifully and to have at myself
    houses the wardrobe. Write to me also what clothes to you to like? And you
    listen to what music? I like
    to listen to various styles of music. When in me the good mood to me would be
    desirable to listen to classical
    music. I very much would like that we became friends and probably we will have
    identical interests. Write
    to me please for me it will be very pleasant to receive your letters and to
    know about you. I shall wait
    from you for letters my friend, I hope you will allow to name you the friend.
    Yours in Love Kobwa Onyango!

    ReplyDelete
  23. Anony wa pili unatia kichefuchefu

    1. Obama si Mkenya
    2. Alienda kutembelea Kenya kama wazungu wangine wanavyokuja kutembelea Afrika, .. Ila yeye alitumia wasaa huo kuwaona na ndugu zake wa upande wa baba pia
    3. Obama hakulelewa na huyo bibi hapo kwenye picha
    4. Obama alilelewa na bibi yake mzaa mama ambaye ni mzungu(alifariki siku moja kabla ya uchaguzi)
    5. Kwa taarifa tu, Obama ni mzungu asilimia mia moja kwa upande wa mila desturi na utamaduni(culture)
    Obama ni mwaafrika kwa asilimia chache tu hasa kwa kuzingatia baba yake alikuwa mwafrika
    5. Wazungu wa South Africa ni waafrika zaidi kuliko Obama

    Waingereza wanasema "No Research, No Data, No Right to speak"

    Hapo Obama alipita tu na ili kuonyesha anawajali ndugu zake akawa anawasaidia hapa na pale

    ReplyDelete
  24. Baba ya Obama ni Mkenya.Kibaiolojia,hiyo inagemwezesha Obama kuwa Mkenya laiti angeamua hivyo.Nahdnai kuna wazembe wa kuchambua asili na mahala pa kuzaliwa.Kwani ukizaliwa hospitali ndio lazima uwe mkazi wa hapo?Mimi ni Mtanzania,niko huku Ulaya Magharibi,nikimpachika mimba binti wa kipolish kitoto kitachozaliwa kitakuwa na uhuru wa kujiamulia chenyewe kuwa ni kipolish au kitanzania,lkn kwa utamaduni wetu hiyo ni damu yangu ya kitanzania.

    Obama ana asili ya Kenya,hilo halina mjadala.Alizaliwa huko alikozaliwa (Hawaii or whateva),akawa raia wa marekani kwa sababu hizo,akaelemea upande wa mama yake mzungu....lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa baba yake ni mweusi wa kutoka kenya.

    Hapa nahisi kuna kinyongo dhidi ya watani zetu wa jadi....mioyoni tuna-wish na sie tungetoa kilicho chetu....

    ReplyDelete
  25. wewe mchangiaji wa pili, umeambiwa wapi kama obama amekulia vijijini? kwenda vikesheni mahali haimaanishi umekulia huko jinga wewe. soma taarifa kwa makini kabla ya kuleta utumbo wako hapa

    ReplyDelete
  26. anonymous wa November 18, 2008 1:22 AM wewe ndio mjinga na ni afadhali uchukuwe huo ushauri uliotowa na usome vizuri, ni kweli habari zote zinasema kuwa amelelewa na bibi yake, lakini sio bibi yake wa upande wa baba ni wa upande wa mama, au kenu nyinyi bibi ni upande wa baba tu. soma vizuri, tumia vizuri visenti vyako unapokwenda kwenye internet cafee!

    ReplyDelete
  27. Nina imani kuwa historia ya viongozi wa TZ (hasa wale waasisi waliokuwa na uchungu na TZ) mnazifahamu na mtakuwa makini kuzitetea hivyo!

    ReplyDelete
  28. we anon wa saa 4:04 am unmenichefua sana ,we ni mchina au mjapani unaposema watanzania bwana mhhhhhhh! kubwa jinga we mfyuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  29. hahahahaaaaaa teh teh teeeeeeh
    yani nyie annons hamjatulia sina mbavu ktk hili!!!! kwikwikwiiii
    obama asomege izi meseji atakufa mbavu na mshangao kwa uvivu wa waafrika walio wengi JAMANI,,,
    weee annon na barua ya galfriend wa Obama hahahaaaaa kwi kwiiiii,,kweli izi ni stress zakusumbua duh!!
    aya Muumba ndie ajuae hatma ya obama
    ANNON MNISAIDIE NTAPATA WAPI VITABU VYA LIFE YA OBAMA,CLINTON,DA VINC CODE ninunue kbs

    ReplyDelete
  30. Jamani , mimi ndie niliye andika comentc za kupotosha kuhusu Obama, niliandika hivyo kutaka kujua watu wa aina gani wana changia humu, kumbe humu watu wengi shule ime kwenda .

    Nilitembelea blog moja nikaona picha ya Obama ambayo ni kama hii, ila comments za wote walio ndika hapo ni utacheka, maana wengi walidhani Obama katoka Kenya na mimi nikaona niandike humu nione watu mta respond vipi.

    chekini hapo link
    http://bongocelebrity.com/2008/11/10/where-life-can-take-us/#comments

    ReplyDelete
  31. jamani mimi nimepost hiyo barua ya zamani huyo dada kobwa alimwandikia obama lakini sijui ni lini ilitokea lakini kwani kipindi alichokwenda kenya hakujalibu kushtua kidogo? jamani huyu mtoto ni mjanja inawezekana hiyo ni girl friend tu!

    ReplyDelete
  32. teth heehe heheheh yaani watu wanadanganyana hume. Ni kile kitabu cha kiswahili kiliwadanganya nini?

    Mhhhhh mengi yaliyosemwa humu ya obama kuna wengine wanaelezea ukweli nusu na uongo nusu,mmmmmmhhhhhhh yangu macho

    in brief ni kuwa

    a. obama alizaliwa hawaii na baba alikua exchange student kutoka kenya mama ni mzungu kutoka kansas lakini wazazi wake walihamia huko.

    2. obama amefika kenya mara mbili tu. Moja peke yake na moja alivyokua na familia yake

    3. baba wa obama alifanya masters hawaii na alipata phd scholaship harvard lakini hakusoma aliingia tu a mara akapata kazi kenya na kuondoka alimwacha obama akiwa na umri wa miaka 2 than alikuja kumuona tena obama akiwa na miaka 3

    4. obama amekuzwa na bibi yake wa hawaii sio wa kenya. Na pia alikaa indonesia moaka miaka 8 hivyo anaongea kiindonesia kidogo lakini haongei kiswahili.

    5. baba yake obama alivyorudi kenya maisha yake yaliharibika sana kwa ajili ya kunywa pombe na hakuoa ila alizaa watoto wengi tu na wanawake wengi . Na mpaka sasa hivi obama anasema hajui how many for half brothers na sisters anao kwa upande wa baba lakini upande wa mama ana half dada zake wawili.

    6. Na huyo anayesema obama ni mzungu asilimia 100 kwa ajili ya culture zao sio kweli ...once ukichanganya damu ya kiafrica iwe upande wa baba au wa mama wewe sio mzungu tena unajulikana kama Africa American. hata kama baba yake obama angekua mzungu na mama mweusi hapa marekani wanakutambua kama AA period.

    7. Obama ndio baba yake alitoka kenya that is it lakini hajui hata culture za kikenya na aliadmit that mwenyewe.

    8. na huyo anayetafuta vitabu unavipata amazon.com

    ReplyDelete
  33. ANONY WA NOV 18 2008 11:51AM UNASEMA UTAMADUNI, ETI UKIZAA NA MPOLISH MTOTO ATACHAGUA MWENYEWE KAMA KUWA MPOLISH AU MTANZANIA, KAMA OBAMA ANGEWEZA KUCHAGUA U-USA AU U-KENYA, WEWE NDO UMECHELEWA KWELI HIYO NI CULTURE YA WAPI TANZANIA? SAWA, LAKINI HAIKO HIVYO NCHI ZA ULAYA, UKIZAA MTOTO NA RAIA WA NCHI YOYOTE YA ULAYA NA AMERICA MTOTO ANAKUWA RAIA WA NCHI HIYO YA ULAYA AU AMERIKA TOKA SIKU HIYO ANAZALIWA HAWEZI KUWA MTANZANIA KAMWE, KAMA UNABISHA NENDA KWENYE NCHI ZOTE NA UCHAMBUE SHERIA ZAO. NA HAKUNA ANAYEBISHA KUWA OBAMA BABA YAKE HAKUTOKA KENYA NA WALA HAKUNA ANAYEWAONEA WIVU WA-KENYA, HUO NI UPUUZI MTUPU KWANI WAKENYA WANAPATA NINI OBAMA KUWA NA BABA TOKA KENYA MPAKA TUWAONE WIVU!! KUHUSU VITABU VYA CLINTON NA OBAMA KAMA UNAISHI ULAYA NCHI YOYOTE NENDA KWENYE BOOKSHOPS KUBWA UTAPA, BOOKSHOPS KAMA BOARDERS, WATERSTONE, YAANI YOYOTE ILE KUBWA. NA KAMA UNAISHI AFRIKA INGIA NDANI YA INTERNET TUMIA GOOGLE.COM TAFUTA AMAZON.COM UNAWEZA KUAGIZA VITABU HIVYO TOKA KWAO, SINA UHAKIKA JUU YA MALIPO HUKO AFRIKA LAKINI HUKU ULAYA UNATOMIA CREDIT CARD AU DEBIT CARD DIRECT AU KUPITIA PAYPAL SYSTEM, NAHISI HII PAYPAL PENGINE INAWEZA KUSAIDIA HUKO AFRIKA ULIZIA BANKER WAKO.

    ReplyDelete
  34. anonymous wa Tarehe November 18, 2008 3:46 PM
    wewe kweli huna kazi unaenda kuchunguza watu badala ya kushare ideas!
    eti nilikuwa nataka nione kuna watu wa aina gani!
    sasa umefaidika na nini hapo?
    "THE WISE UNDERSTAND TO THEMSELVES,FOOLS FOLLOW THE REPORTS OF OTHERS!"-TIBETAN PROVERB QUOTE

    ReplyDelete
  35. we uliandika kwa bold, November 19, 2008 1:31 AM, hauna akili kabisa ni mjinga wewe.
    1. baba yake Obama hakuwa exchange student, alikuwa full-time student marekani kupitia mchongo ulioandaliwa na Tom Mboya.

    2. Obama Sr. alisoma 1st degree Hawaii, MA (or rather AM) Harvard na alimaliza

    3. Aliporudi Kenya ndio alikuja kuingia maisha ya ulevi ila ni baada ya serikali kumfrustrate kutokana na kutofautiana nayo kimtazamo.

    4. Obama alikutana tena na baba yake wakati ana miaka 10; mzee alienda Hawaii wakakutana. Picha hii hapa (http://www.chicagotribune.com/media/photo/2007-03/28585925.jpg) eti unadai dogo ana miaka mi3 hapo? mmffyyuuuu

    Someni Dreams from my Father. Kwanini hamuwi na akili kama mimi?

    ReplyDelete
  36. Kuna watu huku ndani wanajifanya wana data ila waongo tu. Obama hajawahi kuchaguliwa kuwa president of faculty of law at harvard, rather he was first the editor of the harvard law review (this is a highly reputed law journal)and later elected the president of the harvard law review. He was the first African american to achieve this feat and this is what propelled him to the limelight. Halafu you can be an exhange student as well as a full-time student at the same time. There is no conflict whatsoever between these two terms. Na baba yake Obama ni kweli alikuwa exchange student from Kenya out of a programme ambayo ilikuwa organised na Marehemu Tom Mboya ya kubadilishana wanafunzi kati ya marekani na kenya. Pia at the same time alikuwa full time student. Kwa kweli inaudhi pale watu wanapokose facts halafu wanakuwa na jeuri ya kugombeza wenzao.

    ReplyDelete
  37. To join Illuminati is easy...Join the Illuminate cult online today where ever you are and get instant sum of 10,000,000,00 USD[dollars] with a free home any where you choose to live in the world and many other benefit as follows.we make your business grow faster and empower you...Joining the Illuminati brings you into the limelight of the world in which you live in today your financial difficulties are brought to an end your inseams lengthen we support you both financially and materially to ensure you live a comfortable life in comfortable slacks You can join from wherever you are,any part of the world[country] you are..from the UNITED STATE down to the most remotes part of the earth we bring you all you want, it dose not matter being Literate OR Illiterate Rich nor Poor anybody is advice to join If you are interested contact us now for all you seeks in life will comes to Reality. email us now:[illuminatipower666brotherhood@gmail.com]... /...or call +2348155285233 / whats-app
    say bye bye to poverty by joining Illuminati i never believe not until i finally join but now i am rich..this man is real he made me what i am today and i am very proud of me begin a Illuminati member... if they, can make me rich make me become something in life why don't you join also for you to also be rich the money always flows through the members like an ocean that never runs dry it dose not matters if you have been scam before contact him for help to join :::: NOTE; that in this Great Brotherhood Of Illuminati No Bloodshed And No Humans Sacrifices is involved [We Don't Kill For Anything] OK... Do not miss this opportunity THANKS.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...