Spoilt 4 Choices,
this Friday,
November 7th
Celebrate the Victory of Obama
this Friday at Kibo Bar, Moevenpick Royal Palm Hotel
Special Guest DJs spinning the best in Hip Hop, R'n'B and party classics
Dress to impress
TIME: 9:30 pm till late
10K entrance
Thanks to
For flyer and other details,
click:
To see Hedrush Halloween photos,
click:
wabongo kwa kupenda kujiramba...je mngekuwa wakenya si ndo msingeenda job week nzima. CHANGE WE NEED....yes we can.
ReplyDeletewatu wengine mnaboa, wenzako kama wanataka kusherekea wewe shida yako nini? waache wenzako wachill out wewe kaa tafuta ufumbuzi wa stress zako!
ReplyDeleteWe ANON wa kwanza hapo juu una kichwa cha samaki.Akili huna.
ReplyDeleteUlimwengu umeshuhudia HISTORIA imetengenezwa. Ukurasa mpya umefunguliwa. Demokrasia halisi. Nguvu ya umma.Jamii ya watu isiyokubalika imekubalika. Rais wa Marekani ni Dunia. Dharau ya wazungu kwa mtu mweusi imekwisha.Waafrika tumepata heshima ya kizazi chetu.YES WE CAN kuwa mtu yoyote yule.
Ni wakati, ni wakati, ni wakati!
ReplyDeleteWakati ukiwadia kutakucha. Wakati ukifika kutachwea. Wakati ukiwadia awike au asiwike jogoo, bata au mkubwa wao mbuni kutakucha. Wakati ukiwadia utazaliwa. Wakati ukiwadia utakua. Wakati ukiwadia utafariki (farakana na maisha).
Wakati umewadia.
Wakatoliki kule Roma wakati umewadia wakachagua Mapapa wawili mfululizo wasio Wataliano: Papa John Paul II na Papa Benedict.
Kwenye mbio za magari Lewis Hamilton kashinda akiwa mrangirangi na mwenye umri mdogo kuliko wote ambao wamewahi kushinda
Formula 1.
Nasi Watanzania hali kadhalika tunahitaji CHANGE. Kwa wakati ukiwadia huwa kidaka, dafu, koroma, nazi hadi mbata. Bahati mbaya wakati ulipowadia tukavuna kidaka badala ya mbata.
La zaidi tumuombee Barack Hussein Obama kila la kheri afanye yaliyo mema.
EMBU KAENI NYUMBANI,MTUNZE FAMLIA..HIVI VIMBEREMBERE SIO VIZURI.. YOU CAN,CAN NINI? AMERICAN CAN! TANZANIA MALIZENIN KWANZA NA MAFISADI
ReplyDeleteWe nani kakuambia hatunzi familia yake?? Unalala kwangu??
ReplyDeleteWe ndio acha ki-front-front chako cha kuongea pumba.
YES WE CAN
anon 12:49 stress zako kamalizie kwenye 'haja' zako.. tafadhali tuache ma black tusherehekee dunia kutawaliwa na black
ReplyDeletenaona wabeba maboksi mnashangilia kweli,vp OBAMA amewaahidi kuwapa kazi za maana nini?na maboksi watabeba wazungu eeeeh....(yes they can)
ReplyDeleteWe Anon wa 3:04 PM
ReplyDeleteWe ni upupu kabisaa, pumba zina mana wanakula mifugo, mchanga pia unajengewa, unatukera na ujinga wako.
sio wote walio US wanabeba maboksi.
na sio blacks tu ndio wanaobeba maboksi. Ajira kama ilivyo bongo, kuna elimu, utaalamu, uzoefu, vyeti, ujuzi na vibali vya kazi vinahitajika.
Kuna wa spanish, mexican, columbian, indian, na whites (wazungu) wengi tu wanabeba ma-boksi.Kuna ma-black wengi tu wana kazi nzuri za maana na zenye heshima.
Acha kutupulizia upupu hapa.
Mdau
Dar
Lived & Worked in US