mdau julius akiwa katulia rock city. chini na wadau wengine na ndani ya kirumba
Kaka michuzi,
hivi karibuni nilibahatika kusafiri nikafika rocky city leo umenitamanisha sana nilipoziona snap za jiji kwa kweli hata mimi nilivutiwa sana na mandhari ya jiji hilo.
kwa sasa tulibahatika kiungia kwenye wanja hilo maarufu la kandanda katika historia ya michezo East and Central Africapia nilichepuka nikaenda kandokando ya ziwa saa za jioni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Huyu jamaa ni mwalimu au polisi?

    ReplyDelete
  2. akiwa mwalimu au polisi, wewe unatakia nini? umbea tuuu!

    ReplyDelete
  3. sio anatakia nini na wewe 11:51 anataka ajue na kwa faida ya wengine pia kama sisi tunataka tujue kama ni mwalimu au polisi au kama ni karani wa mahakama?manaa hizo picha tu zinajitosheleza hawa mabwana wanayo haki ya kugoma waaongezewe mishahara picha utadhani imepigwa mwaka 1977 kumbe mwaka huu huu 2008 bwana

    ReplyDelete
  4. INASIKITISHA SANA KUONA JITIHADA ZILIZOANZISHWA NA BAADHI YA WANAROCK CITY KUUREJESHA UWANJA HUU MIKONONI MWA WANANCHI ZILIGONGA MWAMBA BAADA KUKOSA USHIRIKIANO. TFF IPOIPO TU HAINA HABARI WALA MIPANGILIO YOYOTE KUHUSU KUWEPO VIWANJA VYA KITAIFA MIKOANI BADALA YAKE HUFIKIRIA KUTOA MISAADA YA MATENGENEZO KWA VIWANJA VILIVYOPORWA NA CCM.

    ReplyDelete
  5. hahahaaaaaaa teh teh kwi kwihahaha
    yan sina mbaaaaaaavu leo,,,
    watu mna dharau km nini,,eti mwl au polisi au karan wa mahakama???
    hhahahaaaaaa

    ReplyDelete
  6. HAKUNA DHARAU WALA NINI KWA UJUMLA HIZI PICHA ZA KISHAMBA KISHENZI ENZI ZA BUGA LUU NA RAIZONI BANA MIAKA YA ARUBAINIII

    ReplyDelete
  7. you guys are so funny eti 1977 hehehheheh you just made my day....you are right about that

    ReplyDelete
  8. hard to belive he was having a good time maana hata kaSmile jamani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...