Home
Unlabelled
salamu toka russia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Babu jitahadhari usinyukwe na ma'skinhead'wa kirusi...manaake yanawachukia wamatumbi na wanyaturu mpaka siku ya kiama...bora urudi nyumbani...walivyosema wasafwa'bora joto la nyumbani kuliko baridi la mwenzie!!!!
ReplyDeleteNI AFADHALI KUWA KWENYE BARIDI KULIKO KULA VUMBI! BONGO OVYO TU,INACHAKAZA VIATU SIJAPATA KUONA!
ReplyDeleteAnon wa kwanza naomba unifafanulie sijakuelewa
ReplyDeleteNa kweli bora baridi kuliko vumbi la bongo.
ReplyDeleteNilikwenda nyumbani summer hii baada ya miaka mitatu na nusu nilikua sijatia mguu hizo sehemu nilizokulia hata mara yangu ya mwisho kufika kule......Mwaka kesho natimiza miaka 39 lakini watu niliokuwa majika nao mhhhhhhh walinifanya nijione kweli nimezeeka. Yaani watu wamezeeka halafu wana wajukuu.... can you believe this. Nilishtuka naonyeshwa mjukuu wa mtu kametoka shule....Na wote wamekalia kusema ati nilikua mdogo wao ....tulisoma wote lakini wanawake wamezeeka wanaume wamezeeka na vitambi hivyo!!!!!!!
Nakuunga mkono anony wa 8:57. Bongo watu wamechoka sana. Nilidhani ni kutokana na hali ya maisha, lakini marafiki zangu wenye uwezo pia wamezeeka haraka na wamepigwa na jua sana. Sielewi kwa nini mtu anazurura juani akiwa tajiri sana.
ReplyDeleteNimeondoka bongo zaidi ya miaka 15 na nilifika mwisho mwaka jana. Bado naona watu wanasumbuka na maji safi, walimu wengi wa shule bado hawana elimu ya kufundisha na serikali bado haijabadilisha kitu chochote kuwasaidia wananchi hasa wafanyabiashara wanyanyuke. Sheria za kibiashara bado ni za kale na hamna vyoo vya kujisaidia sehemu nyingi ya mji. Sitaki hata kuanza kuongelea haki za walala hoi ndani ya mahakama. Miaka 15 nilioondoka haijaleta tofauti yoyote kimaendeleo na imenifanya niamue kufanya kazi nje mpaka nikipata pensheni. Nina uhakika kabisa, nikirudi, mambo yatakuwa vile vile, tambarare, kama wadau wanavyodai hapa.
Anonymous November 25, 2008 8:57 AM
ReplyDeletembona unaama mada ishu si una bethday au miaka yako ishu ni st. Petersburg.... vipi...!? ulikua wa mwisho nini class...!!?? ngoja nikuache nirudi kwenye mada ......Inafurahisha sana mzee wa uurusiii..... vipi imefika -ve ngapi kwa sasa maana huo mjii sometime unafika mpaka -ve 15 ila ka sasa ni bomba kwako kama huna fridge unaweka kuku dirishisha asioze urusi bwana tambarareee.... vipi kuku bado ni bei ya kishkaji kuliko fish ...... vipi vodka pocket na fegi mida hiii bado masister du wa kirusi wanapiga kwa sana vipi sofa za kugeuka kuwa bed bado zipo... najua kwa sasa winter linapiga mbayaaa pole sana mkuu
Mdau Moshi.
Papaa Stan
Alafu byie wabeba mabox na wazibua mitaro ya maji taka mnajiskia sana, eti watu wa bongo wamechoka sana!
ReplyDeleteMkome kabisa si bora sisi tumechoka lakini tunaishi kwa amani, nyie huko visa hamna kazi kuzamia kwenye nchi za watu mnaishi kama digidigi usikute umeulizwa passport hamna hata haya, kazi kusema sema bongo tena mtukome kabisa!!! yani naskia hasira basi tuu hii blog ya jamii lasivyo ningechafua hali ya hewa sasa hivi!
Sote twajua Peters ni baridi sasa hakuna chakujivunia mji huu kwanilisoma huko na nimji mzuri ila watuwabaguzi sana.
ReplyDeleteSi mahala pa kujivunia hakuna dili lolote.
Hakuna kazi kwa weusi na uabaguzi uko kila nyanja.
Pole sana mshkaji wa huko
kwanini hamtaki kukubali kuwa bongo choka mbaya jamani vumbi,inzi,uchafu,joto na jua,khaaaa!yaani wabongo mie nawaangalia soli zao za viatu tu wenyewe sijui hawajioni maskini walivyopauka na viatu vyote soli zimelika upande mmoja wa kisigino,kazi kuwasema wabeba boksi tu kwani hivi huko bongo hamna maboksi ya kubeba au mna winch nn wenzetu?au vyoo vyenu kwavile hamvisafishagi ee?manaake kama mnavisafisha ina maana nyie pia tuwaite wasafisha vyoo vya bongo,manaake lazima mikono itoboke tu kwa vyoo vile nilivyoviona last dec
ReplyDeleteNdugu zangu mie nakujua huko Stpetersburg nilisoma huko na naelewa kila kitu.Mji mzuri ndio na wadada pia wazuri lakini kuna raha gani kukaa bila amani. Nafikiri unachoka zaidi kukaa sehemu ambayo siyo kwenu huna uhuru na wewe kila siku ni third class. Huwezi kupiga kura na kila saa unaulizwa document. Bora kuchoka kwa amani kuliko raha ya mashaka. Nendeni mkasome mje muishi kwa amani kwenu. Nje ndugu zangu tunaenda kwa shida tu lakini kama ingekuwa vipi bongo ni bora mara elfu
ReplyDeleteMIE NCHI ZA HUKO URUSI SIIFANANIZISHI KABISI NA TZ, KWANI NCHI HIZI NI ZA UBAGUZI MTU WEUSI WAO HUMWITA ABIZIYAN,KUHUSU UMASKI RUSHWA WIZI PIA UPO NI BORA NCHI YAGU TANZANIA.SOMA UMALIZE URUDI KWENU.
ReplyDeleteOyaaaa Pascal habari za siku vipi umerudi lini tena urusi nilikuona kwenye picha wakati wa sherehe ya Hamza vipi bwana wewe mwenyewe mbona umenenepa sana ,kitambi ,upara du nikikumbuka tulivyo kuwa wote Lakene ulikuwa mwembamba sasa bonge la mtu.
ReplyDeleteVipi Paradise bado inadunda? watoto kibao hasa jumamosi hapo Dj.Bob na Mnageria wanatupa mavitu ...jamani ilikuwa raha sana ila ndiyo hivyo maisha ni mzunguko..
Wasalimie wadau wote wa Piter poleni na winter.
Mdau wa Kuwait.
Ndiyo piter(privet libyata kak u vasi dela ,kak dichonki isho mnoga tamu,a vodka i piva kak....kak ruski marozi)
ReplyDeletehaya bwana nasikia siku hizi kumechanganya sana naona kwenye TV magazeti warusi wamekuja juu sana kiuchumi vipi maisha mnayamudu kweli maana nasikia kumekua expensive kulikoni.
haya wasalimie washikaji wote waliobaki hasa wazee wa piter....sitaki kutaja majinaya watu ila wao wanajijua.
KULI FROM UCHITA
Bongo ni kwetu ila kugumu sana naungana na wadau hapo juu within 15 year since i left my country nothing have been changed except chinese correction in kariakoo area. Nilienda Muhimbili uwezi kuamini kulivyo choka,barabara ndiyo usiseme,ila wakazi wa bongo wanajivunia PPF tower, Mafuta house, EPA towers ,mlimani city e.tc basi hivyo ndivyo vitu washikaji zangu walikuwa wananionyesha ee bwana eee hii ukuiacha../ kweli bado tuko nyuma sana even educated guys still thinking utopia those are not changes we believe in my dear friends we need to advance in order to overcome global challenges facing this world otherwise tutakuwa tunachukizana na majirani zetu eti wanatuchukulia ajira zetu (someni ili mpate kuelevuka kasema TMK Wanaume) sie kila siku vyuo vinafungwa wanafunzi wanafukuzwa sasa nani atalikomboa taifa la kesho
ReplyDeleteMdau wa KAMACHUMU....