

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tunashukuru kwa wizara hii kupata Naibu Katibu mkuu ambae atasaidiana na Katibu Mkuu pamoja na Waziri husika ili waweze kulisaidia taifa letu liweze kupiga hatua katika mambo ya kidplomasia na kupambana na changamoto nyingi za dunia ya kisasa.
ReplyDeleteTuna imani pia Naibu Katibu atasaidia kuhakikisha kuwa watendaji wale wote wanao pata nafasi ya kufanya kazi katika balozi zetu mbali mbali ni wale wenye uwezo wa kuhimili changamoto na kulisaidia taifa letu. Kwa mantiki hiyo basi, wale wote wanao bahatika kupata nafasi za kuliwakilisha taifa katika kada mbali mbali nje ya nchi wawe watu makini yaani wachapa kazi na sio kwa kujuana na baadae kuliabisha taifa.
Naibu Katibu mkuu anatakiwa kuhakikisha kuwa wastaafu na wale ambao wameshastaafu lakini wakabahatika kuongezewa muda wachape kazi kwa kulisaidia taifa kwa moyo thabiti na sio kufanya kazi kwa maslahi yao binafsi.
Tunakutakia kila la heri katika eneo lako jipya la kazi.
It has started....na bado! Safisha safisha ya wakati huu itawashitua au/na kuwashangaza wengi!
ReplyDeleteNgoja uone......