JK akimkaribisha Kiongozi wa Chama Pinzani cha nchini Zimbabwe (MDC) Morgan Tsvangirai Ikulu Dar, jana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Tunakuomba usiingilie tena mambo ya simba na yanga tena wewe shughulikia mambo ya Taifa Stars na kuendesha nchi kwa ujumla

    ReplyDelete
  2. JK kuwa makini acje akakuambukiza uzimbabwelism bure na cc 2kaanza kubeba magunia ya hela kwa ajili ya nauli kwenye daladala

    ReplyDelete
  3. saidia baba saidia...na mimi nianze kusafiri kama wewe!!!!

    ReplyDelete
  4. JK anamjoki huyo-:)ahahah...Angalia anavyomwangalia jicho la kumshangaa au kusindikiza maneno yake.
    Chakubanga

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...