Kwa niaba ya mwenyekiti napenda kuwatangazia kuwa kutakuwa na kikao muhimu cha wana Obay 1992 katika ukumbi wa Msasani Club karibu na Ubalozi wa Marekani.
Siku ya kikao ni tarehe 13/12/2008 kuanzia saa 10 kamili jioni.
Agenda kuu itakuwa ni kukubaliana kuhusu katiba na kusaini ili tuweze kuanza usajili haraka iwezekanavyo pamoja na Uzinduzi wa tovuti yetu. Tunaombwa sana kuzingatia muda wa kikao ili tuweze kumaliza mapema.
Wanachama wote mnakaribishwa pamoja na wale ambao walimaliza 1992 lakini hawakuwahi kuhudhuria. Atakayeona tangazo hili amfahamishe na mwingine.
Kazi njema na Mungu awabariki tuonane jumamosi.
Kwa mawasiliano zaidi nipigie kwenye 0713 270157 (Joan Mungereza)
au nitumie email kwenye
Asanteni sana.
Joan Mungereza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. HIKI NI KIKAO CHA WANA OBEY AU WANA OBAY? AU NI HAOHAO?

    ReplyDelete
  2. Madam chair uko juuuuuuu... Asante kwa kuturushia tangazo. tutatia timu kama kawaida.
    Anony wa hapo juu hiki kikao cha wanafunzi wa Oysterbay primary waliomaliza 1992. Umeisoma na kuipata hiyo?

    ReplyDelete
  3. jamani 92 si ndio ya kina Joseph Mdoe,Johari Lweno,Banzi,Mgullu,Regina Matinde,Nyanzobe Shomari,kina Seushi,Mandari,Mabiba mpo wapi jama?hope tutawaona siku ya kikao kwani ni miaka mingi hope wengi wenu mna miji na watoto,kila la heri.
    EX-OBAY.(92)

    ReplyDelete
  4. jamani mbona mnatutenga wana obey wa miaka mingine?

    ReplyDelete
  5. Tanzania wanapenda vyeo kweli sasa kwanini msiseme kikao cha wana alumni wa OBAY?
    Wakianza 92, 93, 93, 94 etc patakua na website ngapi? usajili wa vyama vingapi...? Kwanza how many people graduated in that year? Think about that...Haitanoga kitaanza leo kesho kitakua na mwenyekiti na katibu tu.

    ReplyDelete
  6. Hii imetulia sana, kikao chema!
    Asante...

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 09, 2010

    Bado association ya wana obey ipo msitusahau sisi tulio abroad class of 95 .kina ernest ndaka filipo deogratias lameck konso diana rweyemamu adella nungu etc

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...