Hello Mr. Michuzi,

I kindly request to advertise my laptops on your blog. These are brand new laptops from the US with the following specifications:
Toshiba L305-S5913
Pentium Dual Core T3200
15.4" diagonal widescreen TruBrite display
160GB (5400RPM) HDD
3GB-Memory , I also have 2GB Memory
2.0GHz
DVD SuperMulti Drive

For prices please call: 255-718-310741

Thank you
Mdau

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. Dude put your catalogue online, even if it's a simple microsoft word delivered as an email attachment.

    Catalogue must show at the very minimum laptop picture with prices.

    This business of call us for price quote for a commodity product like laptops is sooo 1980's

    You are from the US, for Pete's sake.

    ReplyDelete
  2. kaka nimeona una laptop kutoka USA, je huna computer za kawaida used?
    Nina shida sana naona Lapop bei zake zitakuwa kubwa na hasa kwa vile sio used. Nitumie majibu kwa ak_abduel@yahoo.com, kwa majibu zaidi. Asante

    ReplyDelete
  3. Haya bwana Malafyale watese kina Justy.Walipokuingiza mjini walidhani wameshinda,sasa mwaga ma-laptop mengine kwa hasira.

    ReplyDelete
  4. Toshiba ya USA?! Siyo Lenovo?

    ReplyDelete
  5. NINA AMINI MUUZAJI ANAFAHAMU KISWAHILI.

    OMBI LANGU NI KUWA KESHO MUUZAJI HUYU AANIKE HAPA BILA UOGA BEI YA LAPTOPS, TYPES & SPECIFICATIONS ZAKE WANUNUZI TUPO SANA.

    UKIONA VIJE MWISHONI WAWEZA KUONGEZA KALE KATUNGO KA BIASHARA YA CHINGA KUWA,

    'KAMA UNA PUNGUFU YA HAPO ONGEA MAANA BIASHARA HAIGOMBI'

    MAMBO YA KILA MTU KUANZA KUKUPIGIA SIMU NI NGUMU KIDOGO MAANA TAYARI HICHO CHAWEZA KUWA KIKWAZO KWA WENGINE MAANA HATUNA CREDITS HASA BAADA YA KUWA TUMELIPIA KWENYE CAFEE KUSURF KWA MICHUZI!

    ReplyDelete
  6. It's a long time since I last saw adverts of this nature!! Gentleman, Put the pictures of yr laptops and their prices in this blog otherwise it will take you a yr before you get a single phone call if at all you will get any

    ReplyDelete
  7. ...kwani kuweka bei umeshindwa? hizi biashara za kizamani tumechoka!

    ReplyDelete
  8. Mdau muuza Laptop, is it not enough to say you're selling laptops mpaka useme zinatoka US? Au ndio stail mpya ya biashara imeingia?

    Nimewahi kukutana na jamaa anauza 'Laptop' akidai toka US, nilivyodadisi parts za ndani tukakuta zote zimetengenezwa China. Ikabidi aanze tena kujieleza kwamba siku hizi vifaa vya elektronics karibu vyote vinatengenezwa China (maana silcon valley hakukamatiki) na assembling inafanyika US, lol!! Sasa which is which, bora kutangaza unauza laptop!

    ReplyDelete
  9. TOSHIBA is a brand name, there are so many Toshibas from various countries not necessarily from Japan alone. There are Toshibas from UK, MALAYSIA, INDIA CHINA, you name it, and it is true that many parts of electronics come from different countries, also depends on the market where the item is goind to be sold, TOSHIBA ment for USA is not the same ment for Tanzania. The skills and manpower put on them are not the same as well as price too. After all even those factories in CHINA, INDIA and the like are FDIs of USA, UK, JAPAN and the like

    ReplyDelete
  10. Mdau annon Dec 10 8:06PM nakupa hi sana. wengi hawaelewi maelezo. Hapo umeweka summary ya kila kitu. Wazi kabisa.

    ReplyDelete
  11. HAKUNA MNUNUZI HAPA...KELELE NYINGI, HAMNA DILI NYIE, WANUNUZI SIMU WANAPIGA...

    HABARI NDIYO HIYO

    ReplyDelete
  12. Oyaa wewe dealer wa laptops.

    mi natafuta Apple MacBook Pro, 15" screen. Kama una mchongo wa hizo mwaga email yako hapa kwenye blog, twende next steps za kumaliza biashara.

    ReplyDelete
  13. Mnaotaka bei hamjalazimishwa kununua. He! Whats wrong with you people! Watanzania mnachosha! Get over yourselves already!

    Kwa mwenye kuuza laptops, Usiwa entartain hawa.

    ReplyDelete
  14. entertain*

    ReplyDelete
  15. HUWAGA NAWAUZIA WATU LAPTOP HAPO BONGO WEWE UNAE HITAJI "LAPTOP Apple MacBook Pro 15" weka E-mail yako tufanye biashara haraka sana.

    ReplyDelete
  16. simu nimepiga zaidi ya mara 3 hapokei,huyo jamaa mbabaishaji hayupo serious na biashara..weka bei wazi

    ReplyDelete
  17. Ombi kwako kaka Michuzi, kama mtu anataka kutoa tangazo lake la biashara ni vema kabisa atoe na bei, sio kama ni busara kila mtu aanze kupiga simu, huyo mtu atapokea simu ngapi kwa siku, mi mwenyewe tangu nimeona hilo tangazo nikanyanyua simu napiga iko busy tu, ni bora ukaweka bei kabisa mambo yakawa hadharani anaekupigia ni kweli anahitaji sio kuuliza bei, nafkiri hiyo ingesaidia zaidi. Ombi kwa wana blog hii ya jamii mtu mwenye biashara yake aweke na bei. mbona kwenye ile website ya nyumba viwanja vya kuuzwa pamoja nyumba za kupanga tz wanawekaga na bei?

    ReplyDelete
  18. PRODUCT ZINAZOTENGENEZWA KWA AJILI YA SOKO LA MAREKANI ZINA UBORA WA JUU ZAIDI .
    IWE GARI AU KIJIKO .

    ReplyDelete
  19. Kwenye products lasting umechemka. Products za US for short term ili ununue nyingine kuendeleza uchumi. Kila summer winter holidays ni lazima ushop. Na gari ndio usiseme ni kulast five years ili ununue jingine. Tena hapo maintanance kwa sana na barabara ni nzuri. Ford ya US bongo haitadumu. Na Nyumba kama unvyofahamu ni woods.

    ReplyDelete
  20. HIVI COMPUTER KWA KISWAHILI INAITWAJE? AU LAPTOP NA YENYEWE KWA KISWAHILI INAITWAJE AU NDIYO TUMEKWAMA KUENDELEZA TUNAYOJIDAI LUGHA YETU.
    KAMA KUNA MTU (SIYOMAMBO YA KUITANA MDAU) ANAFAHAMU, ATUFUNGUE MACHO.
    JIBU LIWE MOJA TU SIYO MAELEKEZO AU MAELEZO MAREFU. KAMA VILE MTU AKISEMA MANGO (EMBE), ONION (TUNGUU), TOMATO (NYANYA).
    NA USIJE UKADHANI "KIKOKOTOA" (COMPUTE) NDIYO JIBU LAKE. TUFANYE UTAFITI WA KINA NA HATA ZAWADI NTATOA KWA MSHINDI.
    AHSANTENI.

    ReplyDelete
  21. What's the price?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...