Waimbaji wa kundi la Jahazi Modern Taarab wakifanya vitu vyao katika onesho lililofanyika Ijumaa hapo Leicester ambapo leo Jumapili Desemba 21 watafanya onyesho lao la mwisho nchini Uingereza katika ukumbi wa Spice Launge Discotheaque wa Milton Keynes.

Address:
3 Savoy Crescent,
Theatre Centre District,
Milton Keynes
MK9 -3PU

Muda:Kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa tisa usiku.
Kiingilio:£15

Wasiliana nasi :
02083265607,
07861351135


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. dang!!!!! huyo dada ndo mwenyewe kwa mipasho napenda saaaaaana style yako mana unapasha ipasavo.hicho kidole ndo unasuta kabisa! yani taarabu ndo inachezwa hivi.wow utaki mchezo.walikukomaaaaa,bila shaka uliwapasha wakapashika.

    ReplyDelete
  2. Uzuri wa waimbaji wa taarab wanavaa mavazi ya heshima

    ReplyDelete
  3. upuuzi mtupu!

    ReplyDelete
  4. NASIKIA THE COMEDY WAPO UK, WATAPIGA WAPI? MZEE PINTO TUPE HABARI.

    ReplyDelete
  5. Dada anatunza hapo kidole kimebana dolari hapo mambo yamemchengua hapo kwa taha zake na manjonjo yake

    ReplyDelete
  6. Huyo ndio dada lao mtambo wa kupasha watu live mpaka watu wanalia.
    Ahsante dada Lemna kwa kuunga mkono Jahazi.

    ReplyDelete
  7. LEMNA? huyu ni Lemna wa block 41?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...