wapita njia na magari wakikatiza jangwani leo. kwa kutumia ubunifu kidogo tu viongozi wa jiji wangeweza kupunguza foleni za magari katika njia kuu kama vile barabara ya morogoro rodi, kawawa rodi na hata uhuru rodi endapo kama njia hii ya mkato ingetengenezwa. sijui madiwani, wabunge na halmashauri za jiji hili wanaliona hili? ama mpaka JK aseme?
jiji linapanuka kwa kasi na njia ya hii ya mkato iliyotengenezwa ingetatua matatizo ya foleni



kituko huu uwanja pia wanapaki malori na mikutano kibao hapo,,,yan wajenge daraja lipite juuu-kwa juu apo itapunguza foleni
ReplyDelete