wapita njia na magari wakikatiza jangwani leo. kwa kutumia ubunifu kidogo tu viongozi wa jiji wangeweza kupunguza foleni za magari katika njia kuu kama vile barabara ya morogoro rodi, kawawa rodi na hata uhuru rodi endapo kama njia hii ya mkato ingetengenezwa. sijui madiwani, wabunge na halmashauri za jiji hili wanaliona hili? ama mpaka JK aseme? jiji linapanuka kwa kasi na njia ya hii ya mkato iliyotengenezwa ingetatua matatizo ya foleni
jamani viongozi wa jiji mpo?????





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. kituko huu uwanja pia wanapaki malori na mikutano kibao hapo,,,yan wajenge daraja lipite juuu-kwa juu apo itapunguza foleni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...