Home
Unlabelled
madereva taxi wa julius nyerere airport
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hakuna lolote hawa madereva wa Jk airport ni wezi tu.Nasikia ukidondoka toka majuu ukawakodi wanakuingiza gizani wanakupora kila vihela vyako ulivyobebea boksi
ReplyDeleteMh balozi huyo wa kulia Bro wako nini?
ReplyDeletejamani sitawasahau hawa watu yani kwanza wana bei ya kitalii,yan bora tu upande daladala au uchukulie tax pale barabarani,ni kweli yan wakijua watoka nje mana wana jua awa abiria now wamedondoka na pipa la wapi,,,utakoma bei
ReplyDeletenilikua naenda yan kiwalani pale bom-bom tu yan nyuma ya airpot ati sh.10,000/km sikosei au 15,000/ heeee ilhali sh 3500/4000 khaaa.yan siku nikirudigi bongo ata niwe na mzigo gani either nawaita ndugu tusaidiane tubebe vichwani au napanda daladala nafika home shwaari au tax za pale nje ya airpot
hahahahaaaa maisha haya