Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wawaulize waZenji - walileta fyokofyoko mpaka kikombe kimoja cha udongo kinacho saidia upatikanaji wa umeme Zenji hakikupatikana dunia nzima! Walilia......
ReplyDeleteSi wanasema mtambo umechukuliwa kwa wanyalikolo wa Mafinga - sijui wao wamekosa nini kwani walimchagua JK kwa asilimia kubwa kupita wilaya yeyote ile Tanzania!!! Mwee, Mufindi, mmekosa nini nyie?
whaaaaaaaaaat???
ReplyDeleteila jamani kuna vitu vya kufanya na si kumkomoa mwananchi,,,ivi hii mitambo inayozima mkoa mzima kulikoni?????
yan hainiingii akilini kabisa
wee annon apo mwanzo,,,una uhakika???usitupandishe HASIRA
wanyalu tuwasaidie tu ndugu zetu hao japo,,,inguluvi itange