mwanamuziki mkongwe toka kongo mbilia bel akiyakata wakati wa tizi akiwa na vijana wa tanzania house of talent (tht) leo makao yao makuu kinondoni. kesho atapanda jukwaani pale new world cinema kwa shoo oja matata sana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Mbilia kachoka sijui kachakaa

    ReplyDelete
  2. Alipokuwa anaunene kidogo alipendeza lakini hii kujiweka ki- Miss anachekesha

    ReplyDelete
  3. hata akikata kiuno hapendezi tena

    ReplyDelete
  4. Ukishakuwa cougar (umri umekwenda) haupendezi ukiwa huna manyakenyake hata kidogo(nyama nyama) unachekesha.

    ReplyDelete
  5. Waaapi nyie, mimi nataka kumuwowa
    Mtoto wa Kibantu huyu

    ReplyDelete
  6. mpaka mkorogo unakataa,kwanini hakuvaa kiheshima (kulingana na umri wake) akakata mauno akawa na heshima kama marehem MIRIAM MAKEBA,alikuwa anavaa kiheshma.yule mama ni legend (marehem mungu amweke mahali pema peponi)

    ReplyDelete
  7. wewe hapo juu unajua maana ya cougar au unajisemea tu. Kwani umri ukienda ndio unaitwa cougar? Do your homework b4 u write something.

    Jamani age is in your head.
    Mwenzenu BP hatapata kiurahisi au kama anayo ni easy kucontrol, nyie mnataka awe mnene!!!!!

    Ni wangapi bongo wanaumri kama wake (1959)lakini wanaonekana kama mama zeke huyu mwimbaji?

    Unene sio afya jamani na kuvaa kama kijana ni msanii huyu au ni kazi yake inamfanya avae hivyo

    ReplyDelete
  8. She looks so bad, mpende msipend, nikiwa na maana amejiaribu kwa mplastik surgeries ili awe msichana, anachekesha kwa kweli!!

    ReplyDelete
  9. Kweli nikiiangalia vizuri hii picha nakubali Mbilia Bel kuwa kaajaliwa kweli kweli na maanani.

    Mdau
    London.

    ReplyDelete
  10. jamani kumbe kachoka hivo?kwapani kama anasukuma guta!!!life hii.

    ReplyDelete
  11. jamani ninataka kuwaambia umbo la huyu mama ni zuri mno. women in other countries old or young will do anything including sugery to look like her. mimi naona nyie mnakaosema eti m makeba alikua anavaa kieshima alivaa hivyo kwa sababu hakuwa na umbo la kuvaa kama mbilia. acheni kumuonea wivu. you should be happy to see her looking so young and beautiful. nchi nyingine wangemsifu sana. as a woman i am very proud of u

    ReplyDelete
  12. Jamani kweli huyu mama kachoka. Naona miguu ina mabaka meusi kama makovu ya vidonda. Hiiii nadhani kuna kitu kilichofichika hapo. Si Mbilia niliyemjua miaka ya 1980 na 1990. Angeangalia jinsi ya kujilinda kwa kuvaa walau kama marehemu Miriam Makeba na akaendelea kuimba muziki wa kiutu uzima na mambo ya ujana akawaachia vijana.
    Mdau

    ReplyDelete
  13. Kichwa chako kikiwa kinakudanganya kuwa wewe bado haya yote ndio yanatokea. Lakini ukiukubali umri wako hutasumbuka hata kidogo. Mwangalie Patti Labelle anavyovaa kiheshima. Mwangalie Maddona anachekesha, mbilia nae ndio kama maddona.

    ReplyDelete
  14. Huyu mama amelikuta joto la DSM ukimwangalia kikwapa kimelowana isitoshe yule jamaa mwenye miwani anayepiga ngoma karibu nae anavumilia harufu. Maana hizo nguo zimetight mpaka hata sehemu za siri zinaonekana zimevimba kama jipu? Hii kali. Mambo ya libeneke hayo tusishangae sana.
    Mdau

    ReplyDelete
  15. Mbilia Bel ni Entertainer, first and last... Sasa tusimfananishe na akina mama ambao wanafanya kazi Posta na simu eti kwa sababu umri wake unalingana nao na wao wanavaa vitenge na mabubuuu... Please understand this, kwenye shughuli za Mbilia Bel, "IMAGE" is everything.. AFYA pia ni muhimu.. Litinginye mama hapo litachezesha minyama yake likitoka linakimbizwa na Ambulance hospitali.. kesho mnamuona amevaa oxygen mask anawaangalia wenzake wanacheza jukwaani.. Haya hizo ndio faida za unene.. Ila mwili wa Mbilia Bel haukuwa mnene sana hata siku zile za zamani... mimi sioni amebadilika kitu.. Hayo madoa madoa mnayosema anayo miguuni sio yeye tu.mbona dada zenu. shoga zenu na hata wafanyakazi wenzenu na wengine hata mademu wao wanazo hizo hizo dots. besides, ametoka Zaire, wote wanafanana tu!!!
    Michuzi, wewe ni kijana mzee. ulikuwepo enzi za "Mapenzi ya Pesa".. hebu wape darasa hawa wakosoaji wa midadi!!!?? mi naona wengine wanaandika kwa fujo tu bila utulivu hapa...
    MBILIA BEL is African QUEEN since back in the days and she has maintained that!! No one like her. Nendeni youtube.com mkaone and maybe you will ALL APPRECIATE!!

    #1 Fan

    ReplyDelete
  16. KAMA ANGEKUWA MADONNA, MNGEMPIGIA DEBE SAAANA, SABABU MZUNGU.

    MWACHENI MBILIA ANAENDA KWA WAKATI NA C.V YAKE.

    KALALENI.

    ReplyDelete
  17. wewe fan no.1 umesema kweli. unaonekana ni mtu aliyesoma na mwenye akili nzuri. umetoa mawazo mazuri sana. wengi wamekua wakiropoka tu. as they say not all people with degrees are people of high minds. huyu ni mama aliejaliwa sana haswa kuwa na hiyo figure na uzuri kwa umri wake. watu wengine wamejaa wivu na chuki kwenye roho zao and this is a very dangerous combination. mbilia is the best female entertainer in africa nobody can deny that. long live our queen.

    ReplyDelete
  18. kapendeza acheni wivu we fikisha huo umri wake utatambaa lakini mwenyew anakeep figure. huo unene wenu ndo maanamkufa heart problem, washamba wote mnaomsagia huyu mama ata nanyie
    pia mtazeeke siku zikifika. Idiot

    ReplyDelete
  19. nyie waafrika wengine jinga sana badala mfurahie mwenzenu mnanongea hovyo. alafu watu wengine wakitudharau tunasema vile sis weusi ama kweli vichwa vya wengine ndani ni vyeusi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...