Home
Unlabelled
mbilia bel ajifua na THT
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mbilia kachoka sijui kachakaa
ReplyDeleteAlipokuwa anaunene kidogo alipendeza lakini hii kujiweka ki- Miss anachekesha
ReplyDeletehata akikata kiuno hapendezi tena
ReplyDeleteUkishakuwa cougar (umri umekwenda) haupendezi ukiwa huna manyakenyake hata kidogo(nyama nyama) unachekesha.
ReplyDeleteWaaapi nyie, mimi nataka kumuwowa
ReplyDeleteMtoto wa Kibantu huyu
mpaka mkorogo unakataa,kwanini hakuvaa kiheshima (kulingana na umri wake) akakata mauno akawa na heshima kama marehem MIRIAM MAKEBA,alikuwa anavaa kiheshma.yule mama ni legend (marehem mungu amweke mahali pema peponi)
ReplyDeletewewe hapo juu unajua maana ya cougar au unajisemea tu. Kwani umri ukienda ndio unaitwa cougar? Do your homework b4 u write something.
ReplyDeleteJamani age is in your head.
Mwenzenu BP hatapata kiurahisi au kama anayo ni easy kucontrol, nyie mnataka awe mnene!!!!!
Ni wangapi bongo wanaumri kama wake (1959)lakini wanaonekana kama mama zeke huyu mwimbaji?
Unene sio afya jamani na kuvaa kama kijana ni msanii huyu au ni kazi yake inamfanya avae hivyo
She looks so bad, mpende msipend, nikiwa na maana amejiaribu kwa mplastik surgeries ili awe msichana, anachekesha kwa kweli!!
ReplyDeleteKweli nikiiangalia vizuri hii picha nakubali Mbilia Bel kuwa kaajaliwa kweli kweli na maanani.
ReplyDeleteMdau
London.
jamani kumbe kachoka hivo?kwapani kama anasukuma guta!!!life hii.
ReplyDeletejamani ninataka kuwaambia umbo la huyu mama ni zuri mno. women in other countries old or young will do anything including sugery to look like her. mimi naona nyie mnakaosema eti m makeba alikua anavaa kieshima alivaa hivyo kwa sababu hakuwa na umbo la kuvaa kama mbilia. acheni kumuonea wivu. you should be happy to see her looking so young and beautiful. nchi nyingine wangemsifu sana. as a woman i am very proud of u
ReplyDeleteJamani kweli huyu mama kachoka. Naona miguu ina mabaka meusi kama makovu ya vidonda. Hiiii nadhani kuna kitu kilichofichika hapo. Si Mbilia niliyemjua miaka ya 1980 na 1990. Angeangalia jinsi ya kujilinda kwa kuvaa walau kama marehemu Miriam Makeba na akaendelea kuimba muziki wa kiutu uzima na mambo ya ujana akawaachia vijana.
ReplyDeleteMdau
Kichwa chako kikiwa kinakudanganya kuwa wewe bado haya yote ndio yanatokea. Lakini ukiukubali umri wako hutasumbuka hata kidogo. Mwangalie Patti Labelle anavyovaa kiheshima. Mwangalie Maddona anachekesha, mbilia nae ndio kama maddona.
ReplyDeleteHuyu mama amelikuta joto la DSM ukimwangalia kikwapa kimelowana isitoshe yule jamaa mwenye miwani anayepiga ngoma karibu nae anavumilia harufu. Maana hizo nguo zimetight mpaka hata sehemu za siri zinaonekana zimevimba kama jipu? Hii kali. Mambo ya libeneke hayo tusishangae sana.
ReplyDeleteMdau
Mbilia Bel ni Entertainer, first and last... Sasa tusimfananishe na akina mama ambao wanafanya kazi Posta na simu eti kwa sababu umri wake unalingana nao na wao wanavaa vitenge na mabubuuu... Please understand this, kwenye shughuli za Mbilia Bel, "IMAGE" is everything.. AFYA pia ni muhimu.. Litinginye mama hapo litachezesha minyama yake likitoka linakimbizwa na Ambulance hospitali.. kesho mnamuona amevaa oxygen mask anawaangalia wenzake wanacheza jukwaani.. Haya hizo ndio faida za unene.. Ila mwili wa Mbilia Bel haukuwa mnene sana hata siku zile za zamani... mimi sioni amebadilika kitu.. Hayo madoa madoa mnayosema anayo miguuni sio yeye tu.mbona dada zenu. shoga zenu na hata wafanyakazi wenzenu na wengine hata mademu wao wanazo hizo hizo dots. besides, ametoka Zaire, wote wanafanana tu!!!
ReplyDeleteMichuzi, wewe ni kijana mzee. ulikuwepo enzi za "Mapenzi ya Pesa".. hebu wape darasa hawa wakosoaji wa midadi!!!?? mi naona wengine wanaandika kwa fujo tu bila utulivu hapa...
MBILIA BEL is African QUEEN since back in the days and she has maintained that!! No one like her. Nendeni youtube.com mkaone and maybe you will ALL APPRECIATE!!
#1 Fan
KAMA ANGEKUWA MADONNA, MNGEMPIGIA DEBE SAAANA, SABABU MZUNGU.
ReplyDeleteMWACHENI MBILIA ANAENDA KWA WAKATI NA C.V YAKE.
KALALENI.
wewe fan no.1 umesema kweli. unaonekana ni mtu aliyesoma na mwenye akili nzuri. umetoa mawazo mazuri sana. wengi wamekua wakiropoka tu. as they say not all people with degrees are people of high minds. huyu ni mama aliejaliwa sana haswa kuwa na hiyo figure na uzuri kwa umri wake. watu wengine wamejaa wivu na chuki kwenye roho zao and this is a very dangerous combination. mbilia is the best female entertainer in africa nobody can deny that. long live our queen.
ReplyDeletekapendeza acheni wivu we fikisha huo umri wake utatambaa lakini mwenyew anakeep figure. huo unene wenu ndo maanamkufa heart problem, washamba wote mnaomsagia huyu mama ata nanyie
ReplyDeletepia mtazeeke siku zikifika. Idiot
nyie waafrika wengine jinga sana badala mfurahie mwenzenu mnanongea hovyo. alafu watu wengine wakitudharau tunasema vile sis weusi ama kweli vichwa vya wengine ndani ni vyeusi
ReplyDelete