MDAU WA MILIONI 5 SABRA NASSOR AKIWA NA WANAE HUKO DUBLIN, IRELAND, MARA BAADA YA KUTANGAZWA MSHINDI. GLOBU YA JAMII INAPENDA KUMPONGEZA MDAU SABRA KWA USHINDI HUO NA KUMHAKIKISHIA KWAMBA ZAWADI YAKE YA DOLA 500 ATAIPATA KWA NJIA ALIYOIPENDEKEZA YEYE MWENYEWE.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. HONGERA BADRA......VIPI ULIKESHA KUSIKILIZIA MINATO NINI MWANA? MAANA HUKU BONGO MASELA TULIKUWA TUNATEMBEA NA LAPTOP MPAKA KWENYE DALADALA BITI...TUKISAFU MAISHU YA MICHUZI ILI TUPATE KILO SITA KASORO MWANAAA.....MZUKA SANA.Nipe japo jero hilo mwana.....

    ReplyDelete
  2. Mabruk bi Sabrat mungu akukuzie wanao pia.

    ReplyDelete
  3. Michuzi unaniudhi tena sana, last time tulikuandikia maoni kibao ili uandike kama ni dola 500 au 5000. Wewe umeendelea kuandika dola 500 au shilingi mil 5000? Tafadhali tunaomba utuhakikishie kipi ni kipi?

    ReplyDelete
  4. Hongera ila mimi nimebaniwa

    ReplyDelete
  5. Michuzi angalia!

    Si unacheki mwenyewe kuwa mtu wa HIJABU huyo?

    Waume zao wanakuwaga na wivu hao! Asije akadhani unamsololea bure.

    Majambia nje nje hapo. Ohooo!

    Shauri zako.

    ReplyDelete
  6. mtoa maoni wa december 22, 2008 2:26 ni mjinga mwengine huyu wa kitanzania analeta comments za kijinga na za kiudini. mnakumbuka yule aloleta ile ya wanawake wa kiislamu kusoma? nadhani ni mtu huyo huyo!

    ReplyDelete
  7. Sabra Nassor Hongera sana,kuna watu hapa kwenye blog wanachafua hali ya hewa na mitazamo yao ya kidini e.g mdau wa(December 22, 2008 2:39 PM-Mkware):-kama huna cha kuandika kaa kimya!!

    ReplyDelete
  8. We anon wa December 22, 2008 7:38 PM,umemsahau wa 22,2008 2:26, udini ni kitu cha kawaida saana wala hakitakiwi kulalamika.

    Kama wewe ni mwislamu basi rejea kwenye kitabu utakuta ahadi zoote ni kweli kuhusu jamii. Kama hukutarajia hizo komenti basi bado una kadhaa ya kujifunza.

    Kwa wewe wa 22,2008 2:26,mbona watawa wavaa hijabu lakini hamna tatizo, mbona waislamu wanawashangilia watawa kwa upendo tuu.

    ReplyDelete
  9. MASHAALLAAH, UMEPENDEZA NA WANAO, NA NJIA UNAINYOOSHA, KHERI KABISA. UBARIKIWE.

    ReplyDelete
  10. UDINI HUSABABISHWA NA KUTOFUNDISHWA UVUMILIVU HUKO KWENYE SUNDEI SKULI NA CHUO.

    ReplyDelete
  11. Na nyumba ya 'council'nzuri pia!!!

    ReplyDelete
  12. weee 1:33 tatizo lako ni nini? Umeambiwa dola 500. Sasa unataka nini tena uelezwe? ni wee uliyeshinda? Aliyeshinda huyo hapo juu na mia tano yake ataipata sasa sijui uelezwe nini. Kwani uko bongo na unaitaka interms of Tshs? Fanya mahesabu mwenyewe kama unataka hiyo dola mia tano iwe kwenye tshs.

    Hongera Mshindi...

    ReplyDelete
  13. Kwakeli imebidi nami nitoe maoni yangu...Bi Sabra, ni mzuri saaana amejaaliwa. Kama umeolewa, he's lucky...and he better treat you right!! Kama upo mwenewe, michuzi unaweza ushenga? No disrespekt lakini. Hongera!

    ReplyDelete
  14. jamani naomba muniambie hii shindano lachezwaje la mdau wa million 500

    ReplyDelete
  15. Jamani weee annony wa Dec 22, 1:33 na wewe wa Dec 23, 7:10. Huyu Dada Sabra (mshindi) amekuwa mtu wa millioni Tano kutembelea hii blogu ya balozi, na zawadi yake ndo hiyo Dola mia tano( 500$). Mbona ni vitu rahisi na ninaeleweka mnataka mueleweshwe vipi ?!!

    ReplyDelete
  16. Duller huoni photocopy mbili hizo zimewekwa hapo, ili kuonyesha msisitizo kuwa msilete utumbili hapa, kutaka kuiba ndizi za watu?

    Mkware naamini ulikuwa unamtania kakako Michuzi tu,
    Pia nataka ukumbuke kuwa wivu ni ishara ya mapenzi, hata kwa wanyama ukiwachunguza sana utakuta wivu pia upo, si waume za wanawake wanaovaa Hijabu tu ndo wanawivu, mwanamme yeyote pamoja nawe unaweza kuwaka wivu wa kushika silaha kama uliyoitaja au zaidi ya hiyo mbele ya mpenzi wako, hivyo futa dhana ya kuwa wavaa hijabu ni sababu ya wivu, kwani hilo ni vazi la kuweka stara ya mwili na kutimiza ibada ya mwanamke katika kutii maadili ya dini inavyoelekeza, kama vile masista wanavyoamini kuwa mwanamke ni lazima afunike kichwa chake.

    Mabruk/Hongera bi Sabrat kwa ushindi.

    ReplyDelete
  17. hongera bi. sabra utakula kuku na manyoa yake..

    ReplyDelete
  18. Hongera sana Swabra kwa ushindi, naona Ally na mwenzie wamependeza kweli, salam kwa Abdul!

    Mrs Saidi Yakubu (DIDA), Dodoma

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...