Bwana Michuzi,
hii ndo website ambayo watanzania nje na ndani
ya nchi wataweza kunua miziki ya kitanzania ili kusaport muziki na
wanamuziki wa kitanzania
Ni website iliyo gunduliwa na Mtanzania kwa lengo la kusambaza
muziki wa kitanzania.
Contact nami kwa kutumia email hii
gama.records@gmail.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. yaani we uliyepost hapo inabidi 2kupeleke kariakoo shimoni ukasomee marketing,.
    Yani baada ya kuweka wasanii wa kikwelikweli ambao nyimbo zao zinajulikana hadi bungeni unaweka wasanii wa chini ya ardhi?..asa c bora nimsapoti mtembeza kanda kwa mkokoteni apate kupata choo

    ReplyDelete
  2. Yaani wimbo mmoja ni $99 amboyo kwa hesabu ya haraka haraka ni Tsh 1100, albamu mtaani inauzwa Tsh 1600, kweli mmewalenga watanzania walio nchini? bado hujawawekea gharama ya kwenda cafe maana mtandao wenyewe nyumbani una kwikwi

    ReplyDelete
  3. sasa wewe bwana hao jamaa wenye nyimbo wanafaidika vipi na hio web yako hebu kairegiste hio web kwa government in collaboration with wasanii wenyewe ukisha pata hio licence ambayo itakua recognise na kusigniwa na wasanii wenyewe ndio tutaweza kuisuport tukiwa tumejihakikishia wenyewe kwamba tunawasaidia wasanii wetu na sio mtu binafsi na ukishindwa kufanya hivyo basi tutaomba uiache nyimbo ziwe zinasikillizwa na watu kama site nyingine za kibongo
    thanks

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...